Recent content by Batili

  1. B

    Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Vingine ni vya jamaa wa SuperDoll yeye ana kagera na Mtibwa sugar. Huu ni mchezo wa pamoja wa wasambazaji na wazalishaji, nakumbuka mwaka jana waziri alitolewa akaongia wasira akatangaza vibali ndani ya week moja
  2. B

    Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Hii Vita ni kubwa bila kumsaidia Mh.Rais atakwama, vita inaongozwa na Dewji na Zakaria, mbaya zaidi Board ya Sukari inashiriki maana kwenye vibali ndo wanapokula. Hawa wahuni watafungia sukari iadimike.
  3. B

    Serikali ifute vibali vya Saruji kutoka Nje ya Nchi

    Huna unalojua, upungufu wa sukari unatengenezwa na wanyonyaji kina Mohamed Dewji na Zakaria ( Muzzal)
  4. B

    Zitto anatuchanganya kuhusu posho! Wabunge CCM ndio...

    Hapo msigwa mkali kama mbogo
  5. B

    Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amuiga Rais Magufuli

    Akili ya Mende anayo mama yako,
  6. B

    Mapigano Wakulima na Wafugaji yaibuka tena Mvomero-Morogororo

    Kina Mbowe na Nyumbu wanapovaa hua wanamtisha nani??
  7. B

    Dar, matumizi ya nguzo za umeme kusitishwa, nyaya za umeme kupita chini ya ardhi

    Nakataa hilo, hatuna miundombinu ya kupitisha Nyaya Chini ya Ardhi... Hii ilipaswa kuandaliwa wakati wa ujenzi wa barabara kwa kuacha tunnel ya kuaccomodate hizo huduma. Hebu fikiria Dawasco wamechimba chini kivyao, Jamaa wa simu pia wakaja wakachimba na kukata bomba, leo Tanesco pia wachimbe na...
  8. B

    Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

    Labda kichwa chako ni dafu,au tikiti. Muhongo alikomaa mashirika ya serikali (TPDC na StamiCo) yawe mdau kwenye nishati na madini, hamkumsupport. Hata aliposema wawekezaji wa ndani ni madalali na wana pesa za maandazi na juice... Hamkumsupport kwa ukweli huo, badala yake mkamsimanga. Leo anaita...
  9. B

    Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Nyie ndo mnaolewa mjini, hapo ushamfata private... Sa ukiwa kweli si utamvulia nguo hadharani. Punguani wahed
  10. B

    Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi? Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
  11. B

    Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

    Kwa sababu wewe ni mtengenezaji, Comfortability my ass, kwa hiyo wewe una brand gani?
  12. B

    Waziri Mbarawa aitaka TTCL kufanya biashara ya uhakika

    Mkuu tutaaminije unawachukia makaburu?
  13. B

    TTCL yapata mkopo wa bilioni 46 kutoka benki ya TIB

    Mimi kama mzalendo ntaiunga mkono TTCL, wahuni wote wanaotuibia kwenye data na airtime ni muda wa kutafuta Nchi nyingine sasa, "the Giant is awake"
  14. B

    Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    Wacha unafiki we fala, huna unalojua
  15. B

    Lissu: Tunataka Rais Magufuli atuambie waliokwepa Kodi ni kina nani

    Mbona walitajwa na list ikawekwa hadharani kwa Viwango
Back
Top Bottom