Vingine ni vya jamaa wa SuperDoll yeye ana kagera na Mtibwa sugar.
Huu ni mchezo wa pamoja wa wasambazaji na wazalishaji, nakumbuka mwaka jana waziri alitolewa akaongia wasira akatangaza vibali ndani ya week moja
Hii Vita ni kubwa bila kumsaidia Mh.Rais atakwama, vita inaongozwa na Dewji na Zakaria, mbaya zaidi Board ya Sukari inashiriki maana kwenye vibali ndo wanapokula.
Hawa wahuni watafungia sukari iadimike.
Nakataa hilo, hatuna miundombinu ya kupitisha Nyaya Chini ya Ardhi... Hii ilipaswa kuandaliwa wakati wa ujenzi wa barabara kwa kuacha tunnel ya kuaccomodate hizo huduma.
Hebu fikiria Dawasco wamechimba chini kivyao, Jamaa wa simu pia wakaja wakachimba na kukata bomba, leo Tanesco pia wachimbe na...
Labda kichwa chako ni dafu,au tikiti.
Muhongo alikomaa mashirika ya serikali (TPDC na StamiCo) yawe mdau kwenye nishati na madini, hamkumsupport.
Hata aliposema wawekezaji wa ndani ni madalali na wana pesa za maandazi na juice... Hamkumsupport kwa ukweli huo, badala yake mkamsimanga.
Leo anaita...
Ujivuni wako haukusaidii kitu, hata nikikudanganya kama wewe unavyodanganya utaamini vipi?
Akili iko matakoni kabisa, m a bit matured siwezi poteza muda na watoto wasiojielewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.