Recent content by bategereza

  1. B

    Nahitaji mwenye contact za wadada wa Malawi

    walivyo na sura mbaya kama makatambuga utawaweka wapi ?
  2. B

    Tangazo la Wekeza la Tigo

    Umenikubusha. THENKI YOU VERE MACHI kutoka kwa mdada fulani katikati ya nchi
  3. B

    Msaada: Godoro gani zuri?

    Jamani magodoro hua yana expire baada ya miaka mitano. katupe hilo la miaka 20 litakuletea kunguni nyumbani kwako.
  4. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Dogo inaelekea umepigika kisawasawa. hata Katavi na Singida unazitaka ? vipi huko Buhigwe kuna wanga sana ? Au umechoka kula samaki ?
  5. B

    Msaada: Godoro gani zuri?

    Godoro hua lina expire baada ya miaka mitano Katupe hilo usije ulapata madhara ya mgongo uzeeni
  6. B

    Hatari: Abiria wa Bukoba msipande magari ya kampuni ya Mohamed Trans, yana kunguni

    Mohammed trans yamechukua jina la muddy ndio maana ajali zake ni damu kumwagika kwenda Mbele. Unakumbuka Korogwe au lile lililoungua Nzega ? sasa kumbe kuna kunguni wanyonya damu ? kweli in the twenty first century luxury bus lina kunguni ? Wahaya na muddy jipangeni mjiulize mara mbili mbilim
  7. B

    Tangazo la Wekeza la Tigo

    Hapa kinacho matter ni matumizi yako ya Tigo tu. kama ni mpenzi wa TIgo sana subiri mahela
  8. B

    Kiukweli nina tabia mbaya sana

    Kama wewe ni mee haina shida maana huingii jikoni kupika. ingekua ni mdada ingekua shida. anakuletea juice kidole kiko sehemu chafu. haipendezi
  9. B

    Tangazo la Wekeza la Tigo

    Wala usihofu zote hhizo ni zako. Inategemea matumizi yako ya Tigo.
  10. B

    Unakumbuka hii? Nyumba ya Cheyo ilipigwa mnada akanunua Manji CCM wakamrudishia

    Unataka ushahidi gani ? Ulikua hujazaliwa ile nyumba pale karibu na CCBRT ilipopigwa mnada. ushahidi wa Zitto kupewa gari nao unautaka ? read between the lines
  11. B

    UAE female pilot

    Huyu mrembo ni mkristo. hawa wenzetu wasingemruhusu kufanya mambo ya kishujaa. she is such a looker.
  12. B

    Kiukweli nina tabia mbaya sana

    Wewe ni kei au ni me ?
  13. B

    Unakumbuka hii? Nyumba ya Cheyo ilipigwa mnada akanunua Manji CCM wakamrudishia

    Huyu Stevie Wahasira si alikua NCCR huyu. tena kagombea na waziri mkuu enzi zile warioba halafu nadhani alimshida waziri mkuu mpaka kesi Hivi nae alipewa biskuti au ndizi mpaka akarudi chechemaa
  14. B

    Unakumbuka hii? Nyumba ya Cheyo ilipigwa mnada akanunua Manji CCM wakamrudishia

    Mmesahau Zitto Kabwe. kuna vitu vya watu amekula ndio maana anawasaliti CHADEMA na kuweka mambo ya cdm hadharani. Chezeya ccm weye. Ila Lissu. Mnyika na Mbowe hawawawezi
  15. B

    Idd Simba ahusishwa na utapeli kupitia Pride Tanzania

    Tukukumbushe kesi ya UDA. alikua na kesi ya kujibu akaokolewa na DPP. you have a very short memory
Back
Top Bottom