Recent content by Baraka Essau

  1. Baraka Essau

    Mikopo vyuo vya kati: Je, tayari inatolewa na Serikali kama walivyotangaza wakati wa usomaji wa bajeti 2023/2024?

    Taarifa iliyotolewa na taasisi ya mikoponi kuwa online links zitaanza rasmi wiki ya kwanza ya mwezi wa saba
  2. Baraka Essau

    Mikopo vyuo vya kati: Je, tayari inatolewa na Serikali kama walivyotangaza wakati wa usomaji wa bajeti 2023/2024?

    Habari ninaomba kujua pia. Je, mikopo iliyotangazwa na serikali katika vyuo vya kati imeshaanza kutolewa? Maana kuna wengine tulishindwa kuanza masomo kwasababu ya kukosa ada kwa hiyo nategemea sana mikopo na nina hitaji sana kuendelea na masomo.
  3. Baraka Essau

    Kozi ipi naweza soma na ina faida mbeleni kwa ngazi ya cheti?

    Naombeni ushauri, Ufaulu wangu wa form IV ni Dvs IV_27 B/math-F Eng-C Kisw-C Hist-D Geo-D Civ-D Bio-D Je, ni kozi gani naweza somea ngazi ya cheti na yenye manufaa mbeleni.
Back
Top Bottom