Recent content by Bakema

  1. Bakema

    Vikao vya kuzimu

    Ukweli ni upi unaoujua wewe. Maana huu ndio ukweli tunaoujua sisi
  2. Bakema

    Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Ndugu hata Mashuleni. Walimu walikuwa wakichagua mtu mkorofi kuwa kiranja au Monitor Hata Magereza Mkorofi ndio anakuwa Nyapara.
  3. Bakema

    The 66 Law of Illuminati. Secrets of Success. Ni kweli Masons wanatumia?

    Ndugu wafuasi wa Uzi huu. Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba radhi kwa kushindwa kuendelea na Uzi huu kutokana na changamoto za kiafya zlilizonikumba kwa miaka mitatu sasa. Mnisamee sana pindi nitakapo kaa sawa uzi utaendelea
  4. Bakema

    Wazee wa betting nimeamua kuwasaidia, siogopi mtu

    Wewe Nimekuelewa kuliko mtoa Uzi
  5. Bakema

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Noma sana. Dah...!! kumbe mimi sijui kubet
  6. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Tumeambiwa tuishi nao kwa AKILI binafsi hata sijui alimaanisha nini
  7. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Dunia kumbe imeshapinduliwa kiasi hiki. Sikulijua hili. Kumbe mimi lofa tu bosi ni mke ngoja nipandishe [emoji572]️
  8. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    @Mshana Jr Njema kaka ninapambana
  9. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Acha kaka nilibet vibaya siku angalia H2H
  10. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Nilikaa miaka mitano mimi lakini nilikutana na kitu hicho Balaa. Mara kimehonga hela za ndani. Mara kumeleta mwanaume ndani, mara mwanaume wake anatangulia kuja kula chakula home kabla yako akishiba ndio unaambia uje ule Nilipigwa matukio nikasema ngoja nivumilie dah 3yrs nikatema bungo...
  11. Bakema

    Ukibadili mke zaidi ya mara mbili mwenye shida ni wewe

    Binafsi naamini ili kuwe na ndoa ni Mwanaume kuamua kuoa. Na ili ndoa ife ni Mwanamke kuamua kuachika.. Braza unakuta mwanaume anapigwa matukio hadi anaona sikuoa kwa lengo la kuonja mateso lengo langu lilikuwa kujenga familia sasa kwa kuwa ni kisengerenyuma isiwe tabu. Nenda mama.
  12. Bakema

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Ngoja niwahi siti ya mbele
Back
Top Bottom