Recent content by BABS

  1. B

    Zauza miti ya mbao aina ya PINE

    Haujaeleweka ,haujataja ilipo bei yenyewe unaonyesha haupo serious ,
  2. B

    Ni hatari sana mifuko ya Pension kuwekeza kwenye viwanda

    Kiukweli social Security Funds haziwez kuwekeza kwenye viwanda unless unaye support swala hili utakuwa hauna weledi ktk eneo la uchumi na elimu ya Real estate, Siku zote risk ya kuwekeza kwenye majengo ni ndogo na kumbuka Real estate Siku zote zina panda thaman kila Siku bila kuasiliwa na...
  3. B

    Gari ipi nzuri kati ya Harrier240G na Klugger

    Naona hapa kila mtu anatoa uzoefu wake kwa Gari alilo tumia huwezi pata majibu sahhi, mie nimetumia Kruger mwaka wa pili sasa kwa kweli nikitoka Dar to Mbeya Gari inakimbia na inabalance ya kutosha, issue ya vipuri wala sio gharama ni kawaida mno ,pia ina space ya kutosha ndani
  4. B

    Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

    Mmm unamuona mchawi kwa limao saba na sindano saba? Duuu sasa utaendelea kumuona Siku zote? What if hayo malimao yakaokotwa na kutupwa mbali?
  5. B

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Alafu ulivyo mshamba na MTU ambaye haujatembea toka songwe into airport to mby shuttle ni Tsh. Na kumbuka toka songwe to uyole ni 35km nauli ni hiyo hiyo ,toka mwanz into air to mwanz centre shuttles ni 10,000/= toka kia Into air to Arusha town nauli ni 10,000/ , mtoa mada kuwa analytical na...
  6. B

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Mtoa mada kweli wewe zumbu kuku na mvifu wa kusoma ,binafsi mwenyeji wa mbeya na Dar ndo jijj kubwa Tz japo limepangiliwa vibaya na 25% ya ardhi ndo imepimwa and the rest wanaishi kwenye squatters na miundombinu mibovu ya maji na Barbara mbovu za mitaani , Mwanza inastahili kuwa the seconds...
  7. B

    kimeeleweka tarime

    Mtoa mada fafanua story yako nini kimetokea tarime, kama ni issue ya mwenyekiti wa halmashauri ya mji na wilaya nani kashinda, mbowe aliingiaje kwenye sakata lenu?
  8. B

    Yupo wapi Vicent Nyerere, mbona CHADEMA hawamtumii kama mwanzo?

    Vincent Nyerere ni mtoto halisi wa mdogo wake na JK Nyerere nazani mtoa mada ni mpumbavu au Rofa , Vincent yupo na msoma mjini tunatangaza ushind mapema kabisa
  9. B

    Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

    For sure he deserve to be honoured with PhD
  10. B

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Katumia nafasi yake kama kiongoz anaye maliza mda wake akieleza kwamba hiyo radio ni mali ya CDM na huku mmiliki wa hiyo radio ni mtu ambaye ndo alikuwa mpinzani wake mkuu kwenye kura za maoni ndani ya CCM, kisa na mikasa hiyo radio ilikuwa ina report matukio yote kwenye kampeni ikiwa ni...
  11. B

    Mbunge wa Kyela, Dr. Harison Mwakyembe aifunga radio ya jamii ya mpinzani wake kisiasa

    Katika hali ya kushangaza Ndugu Dr. Mwakyembe kaifungia radio ya muhasimu wake kisiasa(George Mwakalinga) ijulikanayo Kyela Fm. Kitendo hiki wananchi wa Kyela wanakilaani kwani ni ukiukaji wa haki ya habari kwa jamii ya wanakyela na matumizi mabovu ya madaraka . ====================== Majibu...
  12. B

    BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

    Hata hapa Mtwara Lowasa ndo habar ya mjini
Back
Top Bottom