Ni kweli mkuu, mnakumbuka issue ya mbuzi katoliki kulishwa dawa za ARVs kama miaka 3 au 4 iliyopit? Wataalam walifuatilia kwa mwandishi na hakutoa ushirikiano na mwisho wa siku ilionekana ni uzushi tu,,
nimeipenda na kunikumbusha enzi za mwalimu,,,,,,
naamini mtwara sio gesi tu, kuna na mengineyo,,,
mtu akiwa na donge kooni limemkwama, siku ukimgusa tu kwa kitu kingine tofauti na alichokuwa nacho kooni, basi atalipuka kama moto wa petroli, tuombeane na kutakiana amani, pia tuwaombee na...
Poleni sana majeruhi, tunawaombea mpone haraka, na poleni wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki.Mungu tunusuru na ajali hizi ambazo zimekuwa zigharimu maisha ya watu kila kukicha!
Poleni sana wafiwa wote, wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na wana JF wote kwa ujumla.
Naamini safari ya kumsindikiza dada yetu kwenye nyumba yake ya milele imeenda vizuri na nawaombea wote watakorudi majumbani kwao toka Ifakara, Mungu wetu awatangulie.
Ee Mungu mpokee mwanao Regia, msamehe makosa...
Sina hakika nimekuelewa, lakini mikoa ambayo haimo kwenye historia ya kuandamana kama Mtwara, Lindi wana maendeleo gani? Nani ana jukumu la kuleta maendeleo kwa wanachi wake? DOWANS, Migodini, mgao wa umeme, ATCL nk unasemaje hapo, hayo ni maandamano?
Naona umesahau kwamba siku zote au mara zote, marehemu ni mtu mzuri sana kuzidi uhalisia, na kama wangekuwa wanafufuka wakati sifa zinamiminwa tungekimbiana!!!
Hata mimi mazingira ya kifo chake sijayapenda hata,,,, inabidi tuyalaani,,,,
RIP Gaddafi
mmmmh yetu macho, sasa hivi hiyo timu haina kiongozi, kila mtu anapiga mpira directions tofauti, huyu kule na huyu hapa, yaani ni tafrani.
Kuiweka sawa yataka busara ya hali ya juu na si kazi ndogo, tuwaombee Mungu awanusuru kwani ni kama train ambayo inakaribia kudumbukia mtoni kwani daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.