Kuna kipindi nilifanya muamala mrefu kwa njia hyo hela ilkwama alafu inahitajika kwa uharaka niliumia ikabidi nitumbukie kausha bila kupenda ifike muda haya makampuni kama huduma Fulani hawaiwezi waikaushie wanatia hasara kuna muda
Kuna hatua itafika tutaanza kuwambana makofi hii ni dharau kuhamisha watu pasi na ridhaa yao kuna wengine wanahamishwa kule Shinyanga tena wamepewa siku 14 ni kama mambwa (thamanilessness) alafu kipindi cha uchaguzi watataka kura
Hawa wanaopindua serikali zao wangekuwa wajanja na wazelendo kwa nchi na bara la Afrika kama wangepindua nchi na kuitawala wao kama wao kuliko kuipindua nchi alafu unaegemea upande Fulani yaan sasa na mtu anayehama kiti cha nyuma kwenye gari na kukaa cha mbele kwenye gari ileile lengo awahi kufika
Kanisa na Wadventista Wasabato wanajua maandiko na wanajali sana kondoo kama aliwahi kukosea huko nyuma wakamuonya mara kadhaa watamfuta ushirika lakini kama ndio kaanza naamini watamkalisha chini na kumpa maneno ya kumsaidia kurudi kwenye mstari
Kuna wale tuliokuwa tunaleta ushabiki kipindi Fei anaisumbua Yanga Basi tuanze kufanya utani huohuo na kwa Chama wamuache akatafute maslahi kwingine(Chama pambania maslahi yako)
Oyaaa acha kujiaibisha kiatu kinauzwa laki tatu naa .... unasema siasa wakati mwingine mkaage kimya sio kujikuta mnajua kila kitu mtaabika siku zingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.