Search results

  1. asanteni babu

    Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Kuna kipindi nilifanya muamala mrefu kwa njia hyo hela ilkwama alafu inahitajika kwa uharaka niliumia ikabidi nitumbukie kausha bila kupenda ifike muda haya makampuni kama huduma Fulani hawaiwezi waikaushie wanatia hasara kuna muda
  2. asanteni babu

    Unaweza kuhamisha Wazanaki toka Butiama kwenda Igunga?

    Kuna hatua itafika tutaanza kuwambana makofi hii ni dharau kuhamisha watu pasi na ridhaa yao kuna wengine wanahamishwa kule Shinyanga tena wamepewa siku 14 ni kama mambwa (thamanilessness) alafu kipindi cha uchaguzi watataka kura
  3. asanteni babu

    Ningekuwa mimi, Azam FC ningetimua Wachezaji wote na benchi la ufundi

    Tatizo hakuna malengo kwenye timu
  4. asanteni babu

    Jamani wafundisheni wanawake kuoga

    Oyaaa punguza hasira mzee dunia ya wote hii wasafi na wachafu kama kuna kitu kinakukera tafuta kisichokukera au nenda mahala hapakukeri
  5. asanteni babu

    Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

    Hizi huwa zina quality zipo mpaka za buku 5 wewe nenda na kiasi chako dukani utapata kulingana na kiasi chako
  6. asanteni babu

    ABUJA: Rais wa Nigeria aomba kibali cha bunge la Senate kutuma jeshi Nchini Niger

    Hawa wanaopindua serikali zao wangekuwa wajanja na wazelendo kwa nchi na bara la Afrika kama wangepindua nchi na kuitawala wao kama wao kuliko kuipindua nchi alafu unaegemea upande Fulani yaan sasa na mtu anayehama kiti cha nyuma kwenye gari na kukaa cha mbele kwenye gari ileile lengo awahi kufika
  7. asanteni babu

    Tetesi: Kimenuka Kambi ya Wanalunyasi huko Uturuki

    Kipa mbrazili kaumia mazoezini baada ya wiki moja tangu asajiliwe na taarifa zinasema habari yake na lunyasi imeishia hapo(hasara)
  8. asanteni babu

    Kitendo cha Mzee Stephen Wasira Kuvunja Sabato Hadharani: Je atapewa adhabu kwa mujibu wa kanuni za Kanisa?

    Kanisa na Wadventista Wasabato wanajua maandiko na wanajali sana kondoo kama aliwahi kukosea huko nyuma wakamuonya mara kadhaa watamfuta ushirika lakini kama ndio kaanza naamini watamkalisha chini na kumpa maneno ya kumsaidia kurudi kwenye mstari
  9. asanteni babu

    Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Bro umeandika ukweli wanapambana sana kumpamba lakini ukweli haufichiki
  10. asanteni babu

    Hili la Former NBC Premier League MVP Bangala kwenda Azam FC tunamuomba Rais wa Yanga SC atuachie Yanga SC yetu

    Injinia na wewe nani anajua vitu vya ndani ya Yanga tafuta matumizi mengine ya uchawi wako mwache kijana wa watu
  11. asanteni babu

    Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    hahahaaaa asilimia kubwa Wabongo hatupe di vitu siriaz mbaya yakitugeuka makasiriko plus hasira na kutia huruma kwa sana
  12. asanteni babu

    Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Kuna wale tuliokuwa tunaleta ushabiki kipindi Fei anaisumbua Yanga Basi tuanze kufanya utani huohuo na kwa Chama wamuache akatafute maslahi kwingine(Chama pambania maslahi yako)
  13. asanteni babu

    Ahobokile Mwaitenda anusurika kuuawa kwa kuukosoa mkataba wa bandari!

    vipi ukisoma ulichoandika unakielewa?... lakini tujitahidi tuungane pamoja tukatae uhuni ndani ya nchi yetu
  14. asanteni babu

    Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

    Oyaaa acha kujiaibisha kiatu kinauzwa laki tatu naa .... unasema siasa wakati mwingine mkaage kimya sio kujikuta mnajua kila kitu mtaabika siku zingine
  15. asanteni babu

    Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Chai sijui supu Ila hakuna waoaji hapo dunia ya leo hakuna ukoo ambao unawatu wa ajabu kabisa so jamaa mpaka hapo ndoa haiwezi afuate ratiba zingine
  16. asanteni babu

    Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Chai sijui supu Ila hakuna waoaji hapo dunia ya leo hakuna ukoo ambao unawatu wa ajabu kabisa so jamaa mpaka hapo ndoa haiwezi afuate ratiba zingine
  17. asanteni babu

    Tetesi: TAKUKURU, TISS wadaiwa kuchunguza rushwa ya Wizara ya Nishati kwa Wabunge

    Mwana atasafishwa hakuna baya kitamkuta tuko hapa
  18. asanteni babu

    Haya mavazi ya Kipa wa Yanga, Diarra yanafikirisha sana

    Jitahidi ujue mavazi mzee wakati mwingine ukiona kitu kaa kimya hivi kwa maisha ya Diara anaweza kuvaa kiatu cha elfu mbili (akivaa kaamua) kukaa kimya ni kuzuri kunaficha aibu ndogondogo kama sasahivi ushaonekana kimavazi uko nyuma maili nyingi
  19. asanteni babu

    Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Hamkuwa waoaji nyie mngekuwa waoaji msingeanza kupekenyua hivo ukoo wa huyo dada...unaenda kuoa wewe unaanza kupambana kuwajua watoto wa shangazi au shangazi alizaaje haingii akilini
Back
Top Bottom