Hapa ndo unaona dhahiri madhara na athari za kusoma katika lugha ya watu kisha kufanyakazi katika lugha yako ya nyumbani. Mkuu hiyo nadharia ya "good corporate governance." unaonekana umeikariri tu huielewi. Mwakyembe alikuwa wazi kwamba baada ya kuona ubabaishaji wa Chizi ndipo akaamua kufungua...
Naona APRM haifahamiki vyema, Nimesoma Jambo Leo Jumapili Mei 20, 2012 na kupata mwanga. Nikafuatilia www.aprmtanzania.org, nikabaini hii ni taasisi huru ila Shibuda labda kama ni kweli alipotoa mada NEC akateleza hili na lile au alieleza utani tulioamua kuuchukua kuhangaika nao.
Hukumu ya kwanza Kisutu Hakimu aliyewafunga ni Eddy Lyamuya shastaafu sasa. Rufaa yao ya kwanza alisikiliza Mihayo peke yake. Rufaa ya pili ndio akina Massati et al.
Sheikh vitu vingine tuongee kwa takwimu. Nenda website ya UN, kwa nafasi yake Mama Migiro alikuwa ni msaidizi wa Katibu Mkuu so alikuwa anatumwa na ziara zake zinaratibiwa na UN office. Hata ukimuona nyumbani ilikuwa inaratibiwa na UN ofisi so si kosa kurudi nyumbani. Tutafute lingine la kumkosoa.
Tunaambiwa mnapokhitilafiana katika uislamu rejeeni katika Kuran na hadithi. Sijui masheikh wetu kama wamejiridhisha kama anachovaa yule mama ni Hijjabu, mtandio au kilemba?
Tupate kwanza tafsir ya uislamu kuhusu hijjab, tusiingize dini takatifu katika mambo machafu.
Mjadala huu ni mtamu lakini kuna mahali tunajadili hisia zaidi kuliko ukweli. Link hiyo hapo juu inaweza kutuongezea ufahamu kuhusu the art of speech writing hasa kwa uzoefu wa Obama. Wakati baadhi tunamjadili Msafiri wa umri, digrii yake au hata kabila lake, Obama, anayesifika mno kwa hotuba...
Makamba?Sidhani kama anaweza kuwa katika orodha nyota alisikika nje ya Bunge kwenye kutetea Dowans na aliposimama Bunge ni pale alipotaka kupotosha kanuni za Bunge kuhusu lugha ya kuwahoji wagombea hadi Membe alipookoa jahazi.
Analysis yako kuhusu Mnyika pia ni wrong mtu anaweza kudhani labda...
Jamaa kwa sasa ndio Mwenyekiti wa Bodi ya TSN inayosimamia magazeti ya Daily News na Habari Leo. Kama ni kweli ameondoka bila kumudu kuyapa magazeti hayo Mhariri Mtendaji nafasi iliyoibua utata sana. Hii inaweza kuhesabiwa kuwa moja ya failures zake za kiutendaji za kukumbukwa. Otherwise kisiasa...
Pamoja na habari hii kuibua maswali mengi lakini jinsi gazeti lilivyoandika (kishabiki na kutoa opinion) inaonekana gazeti hilo ama linataka suala hilo lipuuzwe au wanatekeleza mawazo ya kiza. Kwanza Mwakyembe katuma taarifa hiyo kwa IGP hao wa gazeti wameipataje?Labda swali hili si la maana...
Shekhe wa Pwani rudia kusoma post. Nimeweka taarifa na kuuliza swali la kuchagiza mjadala, hayo ya wivu ya wapi tena????Du kweli hii ndo Bongo.
Nionavyo APRM kama itamtumia vyema taasisi hiyo itaweza kusikika na kupaza sauti yake kuhusu utawala bora nchini.Nahau na mashairi ni mbinu muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.