Recent content by Arsenal

  1. Arsenal

    Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

    Ata nyumba kanunua South Africa juzi tu angesema na ilo pia!! Hahaha
  2. Arsenal

    Google Chrome na Mozilla Zimeifungia ‘KickAss Torrents’ Kama Mtandao Wa Udanganyifu

    Bonyeza iyo "ignore this warning" apo chini kulia utapita km kawaida
  3. Arsenal

    Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

    Maisha club itakuwa Nakumat supermarket
  4. Arsenal

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Hiyo ni single source kila kitu kinajulikana coz supplier ni mmoja tu MSD hapo manunuzi yanawezekana, huitaji procurement act
  5. Arsenal

    Jinsi ya kuondoa Whatsapp "Last seen"

    Sorry nilisahau link ni http://www.appsapk.com/whatapp-messenger/
  6. Arsenal

    Jinsi ya kuondoa Whatsapp "Last seen"

    This is now official from Whatsapp company, fuata link apo chini install then ingia settings,account then privacy utaona. Goodluck everyone kwangu imekubali kwenye android jelly bean...au ukishindwa just google "whatsapp.apk" then fuata maelekezo yake.
  7. Arsenal

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    hukumu ishajulikana kwamba ni against ZZK so wameenda kupiga simu Lumumba for further guidance.
  8. Arsenal

    Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

    acha uongo ili basi halifanani ata kidogo na izo timu ulizotaja....ila azam nimewapa hongera wamejitahidi
  9. Arsenal

    Usaliti ndani ya shindano la "Nani mtani Jembe" Mashabiki vs Timu

    Simba kapata 100m za ushindi na 1m ya washabiki kunywa pombe na pia wote wamepata 170m za getini ..now u know
  10. Arsenal

    Yajue magari vimeo: Ukikatiza garage lazima utalikuta bovu

    So in short kuna brand yes kimeo but sio model zote au za miaka yote mfano Mercedes benz A class kimeo but sio Mercedes brand zote kimeo au utakuta model za mwaka flani tu ndo kimeo lkn za nyuma yake au mbele yake sio kimeo hii ni kwaio kabla hujanunua gari pata ushauri kwa wataalam (dealerships)
  11. Arsenal

    Yajue magari vimeo: Ukikatiza garage lazima utalikuta bovu

    Wengi mmepatia mlioyasema (uzee wa gari,utalaam wa fundi,spea kuwa ghali,upatikananaji wa spea etc) lkn kuna moja hamjasema ni kuwa sometimes magari uwa yanakosewa since kiwandani mfano Mercedes A class, freelander sio model hii ya sasa etc na ukifatilia ata kwenye news utakuta kampuni uwa...
  12. Arsenal

    Kombe Limeenda Simba, Fedha Zimeenda Yanga?

    Bingwa anapata 100m (ukijumlisha na ile 1m ya ushindi ) kwaio in short tofauti ni one million kati ya yanga na simba kwa mechi ya jana..
  13. Arsenal

    Acha pombe km ushafanya yafuatayo....

    Kula milo yote mitatu apo apo bar
  14. Arsenal

    Acha pombe km ushafanya yafuatayo....

    1. Kujisaidia haja kubwa bar 2. Kubadilisha nguo bar 3. Kununua nguo bar 4. Kuzaa na mhudumu 5. Kupigana bar 6. Kufatwa na familia sana sana mke bar na fujo kuanza 7. Kusimamishwa kazini au kazi kuiweka rehani 8. Kukoroma bar 9. Kubakia peke yako bar mpk inafungwa 10. Kuondoka asubuhi 11. Kuoga...
  15. Arsenal

    Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

    Kasubiri wajukuu kaona hatopata akaamua kuwatafuta mwenyewe ili biashara zake zipate wa kurithi..good move!
Back
Top Bottom