Recent content by annamaria

  1. annamaria

    Jambo Usilolijua: Kambona -"Nyerere... Baba wa Taifa"; Hotuba yake tuliyoisahau

    Mwanakijiji;Tatizo ni vile tulivyosimuliwa/tulivyosikia/tulivyosoma.Kwa maoni yangu naona kama Historia yetu haiko balanced,naona kama imem favor sana Nyerere.Namkubali sana Nyerere lakini pia nina hamu ya kujua mazuri na mabaya ya viongozi waliofanya nae kazi kwa karibu kama Kambona;kutoka kwa...
  2. annamaria

    Jambo Usilolijua: Kambona -"Nyerere... Baba wa Taifa"; Hotuba yake tuliyoisahau

    Nakubaliana nawe mkuu.Ingekuwa jambo jema sana kama Kambona angetuachia walau maandiko fulani kuhusu maono,fikra zake na tofauti zake na Nyerere.Binafsi naona hili limefanya pia ugumu wa upatikanaji wa ukweli hasa juu ya tofauti zake na Nyerere/kisa cha yeye kukimbia Tanzania.Ingekuwa raha sana...
  3. annamaria

    Jambo Usilolijua: Kambona -"Nyerere... Baba wa Taifa"; Hotuba yake tuliyoisahau

    Kambona was a thinker in his own right.Ukimsoma vizuri anaonekana kuwa mtu wa kujiamini sana.Alikuwa mkweli na muwazi na siyo muoga,mtu wa kushikiwa akili.Kiongozi mkubwa kama yeye anafikia kuruhusu wananchi wamkosoe hadharani,basi inawezekana pia alikuwa muadilifu(hakukimbia na sanduku la...
  4. annamaria

    Babu wa Loliondo apigwa madongo mazito!

    This 'babu' needs to be prosecuted in a court of law for the crimes he is committing.People are so irrational,they use faith to defend their mediocrity and wickedness.U dont need to have a medical degree to know that a loliondo cure is a plain lie. These chronic diseases/syndromes are...
  5. annamaria

    Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Wana ubavu wa kupenya primaries za chama?
  6. annamaria

    Mkapa amkaanga Kikwete

    Hapo kwenye bold unaweza kupaelezea zaidi mkuu ili na siye wengine tuielewe hii movie kama ni visasi au ni mambo ya kuheshimu utawala wa sheria tu
  7. annamaria

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Ben ipotezee hii thread,itakuharibia.Thats how i feel!
  8. annamaria

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    ha ha ha naona umeamua kutoa kubwa!mambo ya kampeni za kimtandao hayo!
  9. annamaria

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Ur correct.This is so cheap campaigning strategy.If the poster is aspirant himself,then he is not fit for the post and actually he needs to grow up intellectually before indulging into politics in the first place
  10. annamaria

    Nape: Wanachama wengi CCM mamluki; Asema asilimia 80 ya Wananchi ni Wanachama Wa CCM

    Nafasi aliyopewa Nape huko CCM hata angepewa mtu makini vipi,angepwaya tu na kuonekana kituko.Nape angekuwa smart angeikataa hiyo post na ku concentrate kwenye ukuu wake wa wilaya
  11. annamaria

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Ushauri mzuri sana huu kwa Habibu.Mkuu kaza buti shuleni kwanza u graduate walau,siasa utaikuta.Sidhani kama utasema hii ni good timing kwako manake naona kuna wagombea wako compitent sana huko
  12. annamaria

    Polisi wapewa msaada wa viatu na NGO ya Korea, aibu?

    dini imefuata nini hapa?irrelevant..
  13. annamaria

    Kikwete kweli ni msomi?

    kwa jinsi unavyoelewa wewe,usomi maana yake nini?tuanzie hapo..manake isije ikawa mawazo yaleyale ya mtu kujua kiingereza ndiyo usomi na asipokijua basi hawezi kuwa msomi!
  14. annamaria

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Bilal-Mwandosya ticket haiuzi hata kwa dawa!
  15. annamaria

    Kwa nini Nchimbi anajiita 'Dr' wakati ndio anasoma PhD sasa hivi?

    Nilianza kusikia Nchimbi akiitwa Dr.tangia akiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa CCM then Mkuu wa Wilaya ya Bunda.Siku zile wakati mambo ya mtandao hayakuwa maarufu sana kwa mtu kupata upande wa pili wa shilingi,nilikuwa namuona jamaa ni kama ka genius flani hivi na alini inspire...
Back
Top Bottom