Recent content by amnenuka

  1. A

    Unaelewa nini kuhusu tofauti za "Roho" na "Moyo"?

    Maneno ya Kiswahili, "roho" na "moyo" hutamkwa mara kwa mara katika maisha ya Mswahili. Baadhi ya utumizi wa maneno haya ni "ana roho ya paka", "ana roho ngumu" "ana roho ya korosho" n.k., halikadhalika neno moyo hupatikana katika misemo kama vile "nilimpokea kwa moyo mweupe", "ana moyo mgumu"...
  2. A

    Hivi " clown" kwa Kiswahili ni nini?

    Inategemea unataka maana ipi. Neno hilo lina maana kadhaa katika lugha ya Kiswahili ikiwa ni pamoja na mcheshi, chale, damisi, mpumbavu au mtovu wa adabu.
  3. A

    Any translator humu

    Mimi pia ni mfasiri mwenye uzoefu wa kutosha.
Back
Top Bottom