Recent content by aloyce1982

  1. A

    Naomba kujua ada za shule ya Tusiime

    Wadau naomba kufahamu gharama za ada zinazotozwa na shule ya msingi/ sekondari Tusiime kwa anayejua (day&boarding).
  2. A

    Utumishi wametoa majina ya walioitwa kazini

    TGS D starts with Tshs 625,000/=
  3. A

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Mshaurini na mwenyekiti wa ccm taifa apunguze safari za nje ya nchi kila wiki nakushauri mwigulu uliombee mwongozo bungeni hilo pia huo utakuwa ni uzalendo zaidi ya kumtaja mbowe slaa na chadema kila siku.kumbuka adui wa shetani ni mungu na adui wa mungu ni shetani kwa nini kila siku kukicha...
  4. A

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Mbowe ni jembe mbona ma ccm ni wachafu tu.pia tuangalie maswala ya msingi mfano maji,elimu,barabara,umeme vijijini.ccm mmeahidi bajeti ilopita kwamba kodi ya laini za simu ni umeme vijijini mbona mwaka unaisha utekelezaji zero?.na mwanasiasa makini anatakiwa akosoe mawazo ya mtu na si maisha ya...
  5. A

    Kama unatafuta kazi suluhisho lako lipo hapa-ba recruitment agency

    WEZI WAKUBWA NYIE!! Tafuteni mbinu zingn za kupata pesa sio hizo,hamuoni agency zingn wanavyofanya? Acheni hizo bana!
  6. A

    Organization inayolipa vizuri

    Make sure upo kwny system kwanza ndg then ndo uanze kufanya huo mchakato bt from what I know vyuo vikuu kuna mashavu kwa course yako.
Back
Top Bottom