Recent content by aloveragel

  1. aloveragel

    Kwa wajawazito

    cjui kama mtu anaweza kuandika bila kuwa knowledge yoyote hizi ni suplimentary aziuwi acha kuwa mjinga kiachi hicho inaelekekea hata biology ya form 4 ujasoma na zinarudisha au kufomlate dead cell hebu muulize daktari yoyote supliment ni nini na zina madhara gani na mamlaka ya chakula na dawa...
  2. aloveragel

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Madhara yake huwa makubwa kwa mwenywe vidonda hupelekea kukatwa mguu kani hiyo hali ikukute iwahi mapema
  3. aloveragel

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    FIBROID NI NINI? Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke. Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa. Zinatengenezwa na kambakamba zilizofungamana (muscle fibre) Fibroids huanza kwa ukubwa kama wa njegere, lakini huweza kukua kwa...
  4. aloveragel

    Kwa wajawazito

    KWA WAJAWAZITO hasa wanaopenda mimba zao unashauriwa kufanya mazoezi angalau mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion kunywa maji mengi kwani kunapunguza kuvimba mguu na kupata magonjwa yasiohitajika hila kila mama mjamzito anashauriwa kula mboga nyingi za majani kwani zitamsaidia kuongeza...
  5. aloveragel

    workshop on enterprenueship

    workshop on enterprenueship satarday 29 september 2012 tsh 5000/= for more infomation please call 0683672508 or benkissy@yahoo.com hii kwa watu wa arusha tu wanaopenda mabadiliko kwenye biashara zao kwani kutakuwa na wafanyabiashara waliofanikiwa sana ambao wanaingiza...
  6. aloveragel

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    pole sana mkuu najua kikwapa kinasumbua sana wanaume hata wadada pia binafsi nilikuwa nina kikwapa hadi vinyweleo vinakuwa vyeupe kama mvi vinatokea na nilikuwa sivai nguo kama siglend mara 2 na nilikuwa natumoa deodorant kama nivea azijanisaidia wala nini USHAURI HUU deodorant nyingi zina...
  7. aloveragel

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    dawa ipo na utapona kabisa but sio kwa haraka kama unavyofikiria wewe kwani ugonjwa umekaa nao mda mrefu mno usitegemee kupona kwa mwezi 1 tu if your serios find me on this no 0683672508
  8. aloveragel

    Samsung phone gt-b5722

    NAUZA HIYO SIMU SHILING 180000 TU KWA ANAYETAKA ANI PM 0683672508 imetumika miezi 3 tu
  9. aloveragel

    Samsung gt-5722 inauzwa

    Nauza samsung GT-B5722 kwa laki 200000 aliye serious ani kol imetumika miezi sita ipo na charge 0714511079
  10. aloveragel

    Laptops zinapatikana bei nafuuu zaidi

    dell latitude D610 HDD 80 shiling 250000 kama m2 anataka ani pm
  11. aloveragel

    Natafuta fundi laptop Moro

    n pm nipo nanenane
  12. aloveragel

    Msaada wa gateway m-6843 laptop

    wakuu mashine yangu gateway M-6843 NIMEISTAL webcam usb driver 2.0 but amna kamera on screen nilistaal YOUCAM 5 ikaisha baada ya siku 15 yaani kuexpire sasa napata shida jinsi ya kutumia webcam ya mashine amna shootcut yoyote na driver ipo tena imeistaal freshi naomba masaada kwa mwenye ujuzi...
  13. aloveragel

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    pride after shave the answer inauzwa 23000 tu hata mtu anamapele ya nyuma ya shingo ambayo yanatoa usaha inaondoa yote ukinunua me nilikuwa ya kidevu yote yameondolewa na situmii maji ya moto wala nini sa hvi npo soft itafute ukishindwa ni pm
  14. aloveragel

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    MKUU mzizi mkavu kaeleza vizuri mno sina haja ya kurudia tafiti zinaonyesha wanaofanyiwa operashen baada ya mda ugonjwa unajirudia hivyo binafsi sikushauri upasuaji kwani ni kwa mda tu USHAURI WANGU MKUU KAKUSISITIZA MBOGA KUNA VIRUTUBISHO AMBAVYO VINAHITAJIKA KUONDOA HUO UGONJWA ambavyo vipo...
Back
Top Bottom