Recent content by Ally Bakary

  1. Ally Bakary

    Serikali ya awamu ya tano inaweza kufanya makubwa kama haya ya huko China

    Urefu wa mita 700 wenzetu wanaita daraja sisi nusu mita tunaita "fly over" ee mungu tusaifie cc waja wako
  2. Ally Bakary

    Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

    move ndo inaanza ila nina wasiwasi na mwisho wake unaweza usiwe mzuri
  3. Ally Bakary

    2020 ni uchaguzi wa wabunge na madiwani tu, Rais Magufuli ameshashinda

    kufukuza kazi sio kigezo abadilishe katiba watendaji hawatakiwi wamuogope rais wanatakiwa waiogope katiba, rais hata akiagiza wakamatwe kama katiba inamapungufu wakifika mahakamani wanatoka na fidia wanalipwa
  4. Ally Bakary

    Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

    Ndio shida ya kukaa sehemu moja tembea ukutane na matatizo huo utumbo utauona kama maini
  5. Ally Bakary

    Kibo Complex ni ya nani?

    Ukisha kuwa na tabia yakujadili maisha ya watu kila siku utakuwa hivyo, jiulize lini na ww watu watakujadili?
  6. Ally Bakary

    Fundi anapatikana

    Kwa matatizo ya Engine, Gearbox, Diff, Break Systim na mengine mengi muone fundi Ally anapatikana Tabata Bima au wasiliana nae kwa sim namba (0787- 916655 au 0655- 916655) wote mna karibisha.
  7. Ally Bakary

    Fundi anapatikana

    KWA MATATIZO YA ENGINE, GEARBOX, DIF, BREAK SYSTIM NA MENGINE MENGI KWA GARI ZOTE ZA KIJAPAN MUONE FUNDI ALLY ANAEPATIKANA TABATA BIMA AU WASILIANA NAE KWA SIM NAMBA (0787- 0787916655 au 0655- 916655).
  8. Ally Bakary

    iPad za sumsung

    Tatizo anataka kuongea lugha ya kigeni angeongea lugha kwao
  9. Ally Bakary

    Watuhumiwa wawili wa Escrow wafikishwa mahakamani

    Mbona majina yaliyotajwa kwenye kamati hakuna hata moja?
  10. Ally Bakary

    Housegirl Mtesi wa Uganda ahukumiwa Jela miaka minne

    Nadhani hata malalamiko wanayasikia kuwa abhabu ni ndogo watamuongezea huko huko aliko
  11. Ally Bakary

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Tume ya Uchaguzi ina kazi ya ziada kuhamasisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha na kipiga kura, Idadi ya watu wanaopiga kura ni ndogo kulingana na idadi ya watu ktk maeneo tunayoishi.
  12. Ally Bakary

    Picha: Maandamano MAKUBWA ya CCM Dar- Upanga Mashariki

    Hayo sio maandamano ni matembezi ya Hisani.
  13. Ally Bakary

    Mkutano wa Zitto na Warioba: Waongelea masuala ya uwajibikaji, Maazimio ya Escrow

    Cyber kama unaichukia kamati ya Zitto inaonekana una maslahi na hao watuhumiwa
Back
Top Bottom