Recent content by Allette

  1. A

    Wanawake wananiogopa!!

    No comments!!
  2. A

    Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

    Kimeo hicho ogopa kama ukoma!!!
  3. A

    Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

    Hongera kwa kushinda majaribu ya huyo ibilisi. Wanawake wengine bwana!!!!! Mh!!!!
  4. A

    Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

    Watu bwana!!! Hamchoki majungu????
  5. A

    Jaman hebu nitoen ushamba!

    Kama ni kijana mdogo utoto unakusumbua na kama ni mtu mzima umechanganyikiwa!!!
  6. A

    Jaman hebu nitoen ushamba!

    Wee naye hujatulia, hicho kidole umekiona ndio kivutio kwake au ni ukorofi unakusumbua???
  7. A

    Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

    Neno ahsante linakuja automatic baada ya tendo kufanyika regardless ni mwanaume au mwanamke, hivyo hakuna fomula.
  8. A

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    Hujasema huyo bwana ana umri gani, na wewe mwenyewe una umri gani. Jibu nikupe ufumbuzi.
Back
Top Bottom