Recent content by africatuni

  1. africatuni

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Great work Jane Msowoya we just have to appreciate and support our fellows who have great thoughts and not despising their efforts... you can share with us the name of your products if you won't mind, incase anyone wants to support you ... personally i would love to learn alot from you. Admired...
  2. africatuni

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Apa unaongelea site ambazo zimeshatengeneza jina, zina miaka mingi their reputation is world class known.. amazon owner is among the richest men on earth.. kwahivyo don't blame people for not trusting you.. build a reputation for people to trust on... it takes time but you can do it.. befoward...
  3. africatuni

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Make your website user friendly.. yule jamaa wa Website design nahisi alikushauri vyema sana, you just despised him.. people hate words man, a picture could save you a fortune. Your idea is brilliant..watu wengii sana sikuizi wanaagiza vifaa nje hasa china mfano tu. Chapchap tz wana adi app...
  4. africatuni

    Tujuze mifumo ya Tehama unayotumia kuendesha biashara yako kisasa na kudhibiti wizi

    Sure!! They nailed it! 👏👏👏 wameweka basic tools tu, hakuna unnecessary advanced maths na terminology kama apps nyingine za finance.
  5. africatuni

    Tujuze mifumo ya Tehama unayotumia kuendesha biashara yako kisasa na kudhibiti wizi

    Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood! Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu mbalimbali katika biashara yako au kuifanya biashara yako kidigitali. Biashara yoyote ile. This is a call to...
  6. africatuni

    Fursa; usambazaji wa vinywaji vikali

    Inshort, jamaa anatafuta supplier ambae atasambaza vinywaji vyake.
  7. africatuni

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Google wamekuja na Ai yao inaitwa Bard Ai this is more advanced than the ChatGpt.. ina accomodate alot of languages and data too
  8. africatuni

    Naomba app za bure za kuchat na gpt

    Google wana Ai yao pia, totally free. Inaitwa Bard Ai..simply ni extraordinary, maana ana wide range of data and you can ask in any language.. nilishtuka maana ad kichagga anakijua jua. check this out Bard - Chat Based AI Tool from Google
  9. africatuni

    Naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive

    Sikuizi mi natumia ocean of pdf, nzuri sana .. napata almost vitabu vyote ninavyovitaka. Check this out OceanofPDF https://oceanofpdf.com OceanofPDF.com
  10. africatuni

    Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

    Hujakosea kuwaza hivyo mkuu King gorani .. na umefanya heri sana kuuliza kabla hujajitosa. Tuanzie apo kwenye mkopo, ili mkopo usikudumaze au usikufanye mtumwa nashauri, usikope ili uanzishe biashara, Utakwama unless kama una ujuzi mkubwa wa fedha.. unakopa pale ambapo unaona kabisa unaimudu...
  11. africatuni

    Je, biashara yako Inatumia mfumo gani kati ya huu hapa?

    Asante sana mkuu Mgeni wa Jiji stay blessed!
  12. africatuni

    Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    I guess we are fighting our grandfather's mindset, 1901
  13. africatuni

    Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    Sidhani kama nina huo muda mkuu, ila whatever that you are, i don't think this young generation needs people like you. Boasting around what you are, won't help anybody here.. what you are will be revealed by what you deliver. wise men knows where to invest their time on.. and my valuable time i...
Back
Top Bottom