Recent content by acer

  1. acer

    DC Rosemary Senyamule Asisitiza kusherekea kwa Amani Sikukuu

    Mkuu wa Wilaya ya Same Mh. Rosemary Senyamule akitoa salamu za Christimas alipohudhuria misa ya kanisa kuu la KKKT Dayosisi ya Same. Tar. 25/12/2017. Aliwakumbusha watu kusherehekea kwa amani na utulivu. Pia aliwahakikishia kuwa yeye na kamati yake ya ulinzi wamejipanga kuhakikisha kuwa...
  2. acer

    Mh. Haji Mponda amuunga mkono Rais Magufuli ujenzi wa zahanati

    ```Mh. Mbunge wa Jimbo la Malinyi Dr. Haji Mponda akishirikiana na wananchi wa kata ya Mtimbira wilayani Malinyi kufyatua matofali yatakayotumika kujengea wodi, maabara na theatre za kituo cha afya katika kumuunga mkono mh Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dr. JPM. Mh rais JPM amechangia...
  3. acer

    Mkurugenzi Malinyi akarabati shule na kuongoza kimkoa darasa la 7

    Shule ya msingi Lumbanga iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Malinyi, ni shule ya wafugaji baada ya maboresho ya ujenzi wa majengo 2016 yaliyosimamiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya, imesaidia sana kuleta matokeo mazuri kwa kuongoza kimkoa na kuwa ya 38 kitaifa. Pongezi...
  4. acer

    Tetesi: DC Malinyi amevuruga uchaguzi wetu UVCCM wilaya

    UVCCM MALINYI: DC AMEVURUGA UCHAGUZI WETU "Katika hali isiyotarajiwa mkuu wa wilaya yetu alifika kwenye ukumbi wa uchaguzi pamoja na kwamba hakuwa mgeni mwaalikwa wala mgeni rasmi,alijipa jukumu la kuwa mgeni rasmi na msimamizi wa uchaguzi wetu huu" Hiyo ni kauli ya katibu wa Umoja wa Vijana...
  5. acer

    DC Same apokea madarasa na mradi mkubwa wa maji

    Ilikuwa ni siku ya furaha mno kwa wananchi wa jamii ya wafugaji kitongoji cha Endevesi, kata ya Njoro, Wilayani Same. Hapo Tar. 12/09/2017 wakati Mh. Rosemary Senyamule - DC wa Same akipokea majengo ya Shule ya msingi kwa niaba ya serikali. Pamoja Na mradi wa Maji kwa ajili ya wananchi hao...
  6. acer

    DC Senyamule: Hakuna wa kuharibu hifadhi ya misitu Same

    Ililazimu Kamati ya Ulinzi Na Usalama (KUU) Wilaya ya Same kutembelea msitu wa hifadhi Chome (Shengena) baada ya kupata taarifa ya uvamizi wa wachimbaji madini ya dhahabu ndani ya msitu huo. Uharibifu uliokutwa ni mkubwa Na ni umbali wa zaidi ya km. 2 kutoa eneo la mpaka. Watu 6 walikwisha...
  7. acer

    Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

    Hapo wote ni mabikira. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. acer

    Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

    Utapata mkopo hadi wa mil500 untaxed pamoja na kuagiza gari moja untaxed Sent using Jamii Forums mobile app
  9. acer

    Naibu Spika wa Bunge la JMT, Dkt Tulia Ackson amekabidhi mil.10 kuchangia ujenzi wa soko la SIDO Mbeya lililoungua moto

    Bora agombee jimbo tu hapo sasa namimi nitaanza kujitangaza kwamba nina mbunge , Sugu atufungulie studio tu tuendelee kufanya harakati za muziki maana harakati za maendeleo kwa wana Mbeya ameshindwa kuzileta Sent using Jamii Forums mobile app
  10. acer

    DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

    Hii ni halmashauri mpya, ni miezi 2 toka kupewa fedha za kufanya ujenzi tofauti na halmashauri nyingine ambazo mpaka sasa kwa huku bado hawajakamilisha
  11. acer

    DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

    Wilaya ya Malinyi
  12. acer

    DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

    All in all amefanya kazi nzuri
  13. acer

    DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

    Itamlazimu akakae mtaani maana atauza magazeti sana hapo
  14. acer

    DED Malinyi ajenga nyumba sita za walimu

    *MKURUGENZI MALINYI AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA 6 ZA WALIMU KWA SIKU 23.* Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Malinyi ndugu _Marcelin Ndimbwa_ amefanikiwa kukamilisha ujenzi wa nyumba 6 za walimu ambapo kila nyumba itakuwa na uwezo wa kubeba kaya/familia sita pamoja na matundu 24 ya vyoo...
  15. acer

    Kada wa CCM na rafiki wa Mwigulu yuko juu ya sheria?

    Mkamate hata wewe
Back
Top Bottom