Recent content by acacia

  1. A

    Elias Ngorisa Ajitangazia ushindi Jimbo la Ngorongoro

    Sote tunafahamu kuwa homa ya siasa za mwaka kesho zimeanza kuumiza fikra, mipango na hata njozi ya wale wote wanaotegemea kuingia katika kinyang'anyiro hicho. Ubunge na urais unakausha mate za vyama na wagombea watarajiwa. Jimbo la Ngorongoro ni jimbo lililokaliwa na chama tawala tangu ianzishwe...
  2. A

    TAKUKURU mnalijua hili?

    Jamani viongozi wetu mliochaguliwa na wanachi kuwaongoza na mkaapa kuwaoongoza kwa haki fanyeni. Vinginevyo kila kundi litakuwa na wawakilishi kila ngazi kuwatetea, jambo ambalo sio la lazima ikiwa mtafanya wajibu wenu. Kwa njia nchi hii itapata baba na kila raia atatambua hivyo
  3. A

    ona mwenyewe

    Alikurupushwa ghafla, akigeuka nyuma tu, ataacha kukimbia! Itakuwa kinyume chake.... LOL
  4. A

    Naibu spika: Kumpiga askari wa bunge, Sugu atafikishwa kwenye vyombo vya sheria haraka

    Mpelekee taarifa Olesendeka kuwa waarabu bado wanahangaika kutafuta eneo huko Loliondo, na kama anavyofahamu wanamtegemea sana. Aende huko Uarabuni na Loliondo akamlishe transaction
  5. A

    Njombe: Taarifa ya kupotelewa mbunge wetu

    JK wabunge wako wamekuwa wabonge, hawaonekani majomboni. Ahadi hazitekelezwi na zinazotekelezwa hazisimamiwi, 2015 mtaingiaje madarakani? Ubunifu wenu ni upi?
  6. A

    Ardhi ya Loliondo haichukuliwi na Serikali kwa maslahi ya Taifa

    Wiki hii mwanzoni Wizara ya Ardhi iltuma Timu ya Wataalamu kupima vijiji vipya na vya zamani ambazo hazikupimwa vya Wilaya ya Ngorongoro na kutoa vyeti vya ardhi ya Kijiji. Inasemekena kuwa vijiji vingi vilianzishwa miaka ya 1970 vilipimwa miaka ya 1990 na kupatiwa hati za ardhi za vijiji. Timu...
  7. A

    NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

    Jamani wenye Foundation tukaombe hela NCAA hatutanyimwa tena. Tukinyimwa itakuwa ushahidi
  8. A

    NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

    Inasemekana kiwango kinachoweza kutolewa na mamlaka kusaidia michango mbalimbali haizidi 2m, sasa kupewa milioni 10 tena ikiwa imebainika kuwa hakuna fedha kwa wakti huo, kuna msukumo wa mkubwa
  9. A

    Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

    Kama Kagasheki anao ushahidi wa mafisadi wanaotetewa na Msigwa tena kwa Wizara yake anachelea nini kuwakamata. Au anaendeleza desturi ya viongozi wa Nchi hii kusema wana majina ya wahalifu na kuwaacha???
  10. A

    madhara ya posho kwenye vikao

    Kweli. Kila mtu sio wananchi tu hata viongozi
  11. A

    Stronghold ya CCM imebaki sehemu gani?

    Kama unafikiri uchaguzi na idadi ya wachaguliwa ina-determine stonghold ya chama, basi kwa ccm ni kila mahali. Lakini tukitizama sababu za kuchaguliwa kwa ccm na chadema ni tofauti. Wengi wanachaguwa ccm sio kwa sababu sera zina mvuto au watu wana imani nayo, bali kwa sababu za uoga, vitisho...
  12. A

    Tanzia: Edwin Michael Mlay amefariki dunia

    habari mbaya sana hizi! RIP classmate wangu
  13. A

    Waarabu wameondoka Loliondo?

    Mwarabu anawinda makundi ya wanyama wanaotoka mbuga ya serengeti. Hakuna tena wanyama loliondo. Hii inashangaza kidogo kwa sababu hifadhi ya taifa ya serengeti ambayo ni urithi wa dunia na maajabu ya dunia vile vile. Wamasai walikuwa wanaondolewa karibu na hifadhi ili wasiharibu. Sasa serikali...
  14. A

    Waarabu wameondoka Loliondo?

    Natumaini Serikali inatambua hatari ya kumkumbatia mtu kama huyu. Kagasheki alimwahaidi atapata eneo, yeye alidai alitumwa na rais, sendeka na telele 'walimkubalia' kumsaidia na wamasai wakisimama kidete kukataa nini itatokea?
  15. A

    Waarabu wameondoka Loliondo?

    Utafiti unaonyesha wanyama waliowindwa na mwarabau wote walikimbilia hifadhini serengeti na kwamba hakuna tena. Hata akirudi itamazimu kuwinda katika mipaka ya hifadhi ya serengeti. Imekuwa kama mabaki ya mashimo mwadui
Back
Top Bottom