Recent content by Abloodi

  1. Abloodi

    ACER X110P 3D DLP PROJECTOR Inauzwa.

    kwa wale wanaozijua,ipo katika hali nzuri na ni nzuri pia kwa wale wacheza games.Imetumika masaa 74 na bado ni sealed, katika hali ya upya kabsa ACER PROJECTOR X110 3D DLP Part No - EY.JBU01.039 Product Description - Acer X110P - DLP Projector - 3D Ready Weight - 2.2 kg Device Type - DLP...
  2. Abloodi

    How can I root Huawei Y330-u11??

    mkuu ww umewahi jaribu ku upgrade kwenye hizi simu? maana mimi nikiwa na upgrade inaniletea error kwa zinatofautiana version
  3. Abloodi

    How can I root Huawei Y330-u11??

    mkuu nisaidie issue ya Official Rom inayokubali kwa hizi 330 u11 za tigo hapa bongo
  4. Abloodi

    How can I root Huawei Y330-u11??

    wanajukwaa habar,me ninayo hyo simu lakn imeroga OS nimejarbu kuweka Os nyngne imegoma coz znatofautiana kutoka wasambazaji mfano tigo na Mtn pamoja na nchi husika,so naombeni anyeweza nisaidia OS (official/stock ROM) ya hiyo simu ambayo version yake iwe mwshon B114
  5. Abloodi

    Protein supplements, protein shakes

    helo mkuu niaje? me mwenyewe ninatafuta whey protein,hivi umezipata wap ? na kwa bei gan?
  6. Abloodi

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    naombeni kujua kiundani zaidi kuhusu hiyo 22,000/=inauokatwa na CRDB kwa kila online transaction, ...alaf pia katika kumalizia kulink CRDB na PayPal wamenambia nisubir code kupitia statement, naombeni kujua je ntazipata vipi?
  7. Abloodi

    Acer X110P DLP projector - 3D. inauzwa

    vIp jaman mbona kimya hakuna mwitaji?
  8. Abloodi

    Acer X110P DLP projector - 3D. inauzwa

    Ni used, but ipo sealed kwan imetumika masaa 74 tu. nauza 500k (Laki tano na maelewano yapo) anayehitaji ani pm.nipo Dar ila hata wa mkoani naweza ituma kwa maelewano tutayo ingia Lamp Life (Full Power) : 3,000 hours Lamp Life (eco-mode) : 4,000 hours Lamp Type : P-VIP Lamp Wattage: 180...
  9. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    kaka mkubwa nimerudi tena,ile issue yangu ya blackberry vip...nadhan nilisha kupm
  10. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    mkuu mbona kimya nimekupm ile issue ya blackberry torch 9850 yny imei hii 358568042358022
  11. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    nipo online mkuu
  12. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    hizi hapa mkuu 358568042358022
  13. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    nakuomba univumilie kidogo imezima charge ghafla na sticker ya nyuma haijandkwa imei,so ikiwAka ntazipost hapa
  14. Abloodi

    All unlock codes here order now 100% money

    ni blackberry torch 9850 Meid dec;268435459714756903 PRD:40497005
Back
Top Bottom