Recent content by 99KB

  1. 9

    Vigezo vya kupata uraia nchi yoyote

    wakuu mimi nahitaji kujua ni vigezo gani mtu unaweza kuwa navyo ili kupewa au kuwa raia wa nchi uliyopo naomba msaada kabla cjaenda uhamiaji haswa kwa tz
  2. 9

    Hafikishwi kileleni afanyeje?

    Yangu macho tu
  3. 9

    Wanaume wa Dar ni mabilionea

    Tatzo huelewek una maana gan
  4. 9

    Msaada kuhusu vyuo vizuri vinavoanza masomo mwezi wa kwanza

    Samahan wana jf nina mdogo wangu alichelewa kuomba chuo kutokana na sababu za hapa na pale ila kwa sasa kidogo mfuko unaruhusu nahitaj aanze kusoma haraka iwezekanavyo hii January ivyo kama unafahamu chuo kizuri unachokijua nisaidie ili nione kama inawezekana aanze masomo alikuwa sanyansi
  5. 9

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Tatzo huwa wapo makini kwa mambo yasiyo na tija bt maswala kama hayo ktk kutoa ulnzi kwa wananchi ni zero kabsa
  6. 9

    Ajali ya bodaboda yaua

    R I P kwa Amani kakupenda zaid aliyekuumba
  7. 9

    Bilionea wa Nigeria amzawadia Tayo $350,000 baada ya kushindwa kuzinyakua $300,000 za BBA Hotshot

    Dunia inajua mshindi wa BBA ni kutoka Tanzania mbona inaonekana Nigeria kuwauma sana inaonyesha hawakufurahia ushindi wetu hadi kuamua kutoa kiwango kile cha pesa hadi kushinda pesa waliyokuwa wanaipigania ndani ya jumba hilo.je kama wana uwezo huo basi waanzishe ya kwao ili wajitoe
  8. 9

    Baada Ya Report Nini Inafuata ?

    hakuna chochote labda tujiandae Na uchauguzi Na tujue makosa yetu
  9. 9

    Naipendaga ila tatzo smartphone

    maisha n uhai
Back
Top Bottom