wakuu mimi nahitaji kujua ni vigezo gani mtu unaweza kuwa navyo ili kupewa au kuwa raia wa nchi uliyopo naomba msaada kabla cjaenda uhamiaji haswa kwa tz
Samahan wana jf nina mdogo wangu alichelewa kuomba chuo kutokana na sababu za hapa na pale ila kwa sasa kidogo mfuko unaruhusu nahitaj aanze kusoma haraka iwezekanavyo hii January ivyo kama unafahamu chuo kizuri unachokijua nisaidie ili nione kama inawezekana aanze masomo alikuwa sanyansi
Dunia inajua mshindi wa BBA ni kutoka Tanzania mbona inaonekana Nigeria kuwauma sana inaonyesha hawakufurahia ushindi wetu hadi kuamua kutoa kiwango kile cha pesa hadi kushinda pesa waliyokuwa wanaipigania ndani ya jumba hilo.je kama wana uwezo huo basi waanzishe ya kwao ili wajitoe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.