Kafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima.
Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.
Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
Kuna watumishi walipandishwa madaraja 2016, 2017, 2019 na 2021. Marekebisho ya mishahara yakacheleweshwa hivyo kusababisha madeni ya malimbikizo ya mshahara.
Kila waziri anayeteuliwa wizara ya Utumishi na Tamisemi wamekuwa wakijinadi kulipa lakini hadi wanahamishwa hakuna kinachofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.