Search results

  1. 5

    Nataka niagize simu ya matumizi Kwa Alibaba

    Google pixel 5 kwa Alibaba ni feki, og agiza ebay au amazon
  2. 5

    Ni benki gani nzuri kwa sisi walalahoi?

    Kafungue equity bank utanikumbuka, Haina Makato ya mwezi, Makato ni pale unapotoa Hela, vinginevyo fedha yako inabaki kama ilivyo hata kama ni mwaka mzima. Nina akaunti kwenye hiyo bank zaida ya miaka 3.
  3. 5

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  4. 5

    Serikali imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara toka 2017 hadi 2021

    Kama walivyoenda wale wa madeni yenye 10%.
  5. 5

    Serikali imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara toka 2017 hadi 2021

    Tangu 2016 hadi 2021 bilabila hata matumaini hakuna, Ccm ni kero jamani.
  6. 5

    Serikali imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara toka 2017 hadi 2021

    Kuna watumishi walipandishwa madaraja 2016, 2017, 2019 na 2021. Marekebisho ya mishahara yakacheleweshwa hivyo kusababisha madeni ya malimbikizo ya mshahara. Kila waziri anayeteuliwa wizara ya Utumishi na Tamisemi wamekuwa wakijinadi kulipa lakini hadi wanahamishwa hakuna kinachofanyika...
  7. 5

    FT: Tanzania Prisons SC 1-3 Simba SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | October 5, 2023

    Simba nguvu Moja, Leo tunashinda kuanzia goli 4
  8. 5

    Ligi kuu NBC JKT Vs Mashujaa FC tunachukua pointi tatu

    FT JKT 1-0 MASHUJAA
  9. 5

    Ligi kuu NBC JKT Vs Mashujaa FC tunachukua pointi tatu

    Dk 86 Jkt 1- 0 Mashujaa
  10. 5

    Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

    Kama habari hii ni kweli simba kuna tatizo
  11. 5

    Ni jiwe gani hili

    Nasikia harufu ya mtu kutapeliwa muda siyo mrefu . Sent using Jamii Forums mobile app
  12. 5

    Rufaa ya vyeti vyenye utata hadharani, 47% walikuwa wanatumia vyeti visivyo vyao

    Endelea kujipa moyo!! Hayo mengine unayo wewe?
  13. 5

    Challenge: Ni bora Mungu akupe kipi kati ya haya mambo manne?

    Naomba sana Mungu nisife na dhambi. Hayo mengine atanizidishia.
Back
Top Bottom