Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Leo ndo siku ambayo nataka kumwambia yule ninayempenda neno moja tu nakupenda. Nimewaza cha kumwambia tangia nilipokutana naye chuo 2013 mwaka wa kwanza, mwaka 2014 nilijitahidi kumwambia "M"...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
  • Redirect
Binti yangu nisikilize mimi... 1. Mwanaume atakaekutambulisha kwa wazazi wake na si kwa rafiki zake pekee huyo ndiye mwenye mwelekeo wa kufanya maisha na wewe. 2. Usitizame gari wala pesa nyingi...
0 Reactions
Replies
Views
WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe... Ukiona Mwanamke ana WIVU NA...
27 Reactions
89 Replies
8K Views
Habari wakuu.. Katika maisha unawezea pitia changamoto nyingi katika maisha yako ambazo uleta furaha na huzuni ilikuwaje ulifika point ya kusema ili neno TOO MUCH.. Kwa upande wangu nakumbuka...
0 Reactions
8 Replies
795 Views
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano. Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Poleni na Majukumu wanandugu nimerudi tena katika hili jukwaa kwa kile cha kukuza akili yangu zaidi katika masuala ya mahusiano. Leo nikiwa kazini tulikuwa tunapiga story za hapa na pale na boss...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Huwa nasikia watu wanasema kuna raha ya kukutana na mwanamke bikira, lakini mimi sijawahi kuona raha ya "kugegeda" binti bikira zaidi ya kuwa kero tu na usumbufu. Ujana wangu niliwahi "pita" kwa...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa...
12 Reactions
213 Replies
15K Views
Asikutushe mtu hapa mjini, majimama yanaraha zao jamani yaani ukilipatia vizuri kuligegeda hapo ndio unakua umelimaliza kabisa! Nimeliotea jimama flani hapa mjini mwezi umepita sasa, yaani nitake...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
Ni J2 siku ya mapumziko, wife amekutengenezea lunch nzuri sana, umekula umemaliza unaamua kusaidia kuosha vyombo. Wakati unapanga vyombo vizuir kabatini unakutana na kipande cha gazeti ndani...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
SEHEMU YA KWANZA ndio niliwahi kuwa rafiki yake mzuri sana, rafiki mwenye mapenzi ya dhati, rafiki mwenye mtizamo chanya, rafiki asie na wivu lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo! Kwanini?? iko...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilikuwa napitia clips za humu youtube mara ghafa 'nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu'... Yani hapa tangu asubuhi niko naangalia hii clip ili niendelee kumuona mtoto mtamu Lisa Krilova...
0 Reactions
61 Replies
16K Views
Jumatano moja kuna rafiki angu sana, just call him my bro as nimekua nae tangu vidudu alinialika kwa mlo wa usiku. Jamaa alikuwa ndo kamuoa just miezi kadhaa Jasmin ambaye ni mshikaji wetu pia...
22 Reactions
239 Replies
13K Views
Nina rafiki yangu mmoja ambae tumesaidiana mambo mengi hasa kielimu takribani miaka 6, hasa hasa amenisaidia ishu za financial (loan) coz kwao wapo vizuri kidgo, sasa ishu inakuja wapi huyu jamaa...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Wadau naomba mnisaidie. Kuna ukweli wowote kuwa ukitoa bikra ya mwanamke unakuwa umeingia naye kwenye agano? Na pindi utakapomuacha akawa anakulalamikia kuna laana yeyoyete inayoweza kukupata?
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari, Hapa jirani kuna mdada mmoja yaani amenisikitisha moyo, mdada mrembo kwa kweli maana ana sura na HALICHACHI BANDO kama la yule Suzy Bern wa E-news. Kinachoniuma pamoja na kuwa na haiba...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
1=Usilazimishe kupenda usipopendwa UTAUMIA, 2=Usiache kupenda ulipopendwa UTAJILAUMU, 3=Usitoe maamuzi kwa ajili ya fulani UTAJUTIA, 4=Usione soo kusema ukweli wako UTAUMIA, 5=Usiwe na wivu...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena.! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka 26: Wenzio wanaolewa. Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja huwa naishi nae yaani asione sketi imepita yeye ni halali yake, ni mtu mwenye wivu sana coz ameshanichonganisha na mpenzi wangu ili yeye ampate, anapenda hadi shemeji zake sijui...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Nilikutana Jesca mwaka 1999 katika chuo cha ualimu Tabora (Tabora TTC) Mahusiano yetu yalizaa ndoa baada ya miaka mitatu baadae.. Pamoja nakuwa katika mahusiano hayo nilikuja kugundua Jesca nae...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom