Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

  • Redirect
Jamani.... Nikiwa safari kuelekea Nairobi nilifanikiwa kuonana na mama mmoja Mchaga aliyefanikiwa sana. Ana hoteli Arusha, Moshi na pia ana export kahawa. Nilijiuliza sana huyu mama amewezaje...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
0 Reactions
Replies
Views
Out of curiosity... Would you ever pay someone to vent out your issues from let's say marriage, financial , family etc.. Huyu MTU sio therapist or psychiatrist so sio certified just a person who...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini zenu wanaJF, Poleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika. Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu. Straight to the point; mimi ni kijana...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Mojakwamoja Kwenye mada husika. imekuwa kawaida kwa baadhi ya akina dada wanapo wekeana mihadi ya kukutana namwisho wasiku wadada kupotelea kusiko julikana hii hali ilitokea sana kati yamika ya...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Habarini Wadau, Nilipokuwa mdogo nafikiri kati ya umri wa miaka 11 au 12 niliwahi kusikia mada kwenye Redio Tanzania ambapo mtangazaji mmoja aliuliza swali kuwa "Ni kwanini watu wengi wakiingia...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hellooow dears! [emoji113] Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au...
5 Reactions
92 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Kuna kitu kinanitatiza, kufanya maamuzi maana naogopa fedhea maana tahadhari ni nzuri zaidi kuliko kukurupuka. Mimi ni mfanyabiashara wa muda mrefu kidogo..nina kama miaka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi binafsi haijawahi kutokea,toka enzi za primary nilikuwa naombwa kwa ajili ya vibama,barafu nk,hivyo nilikuwa nadokoa home na kuwapa,ingawa tabia ya udokozi ilipelekea baba kuning'oa meno ya...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Jamani naombeni mnisaidie mwenzenu huyu mwanamke ni mapepo au mbona simuelewi Kuna msichana flani wa kichaga yapita kama mwaka mmoja na nusu niko nae kwenye mahusiano,sasa kilichonileta hapa ni...
5 Reactions
95 Replies
5K Views
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika. Ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba...
12 Reactions
482 Replies
38K Views
Ni matumaini yangu mu wazima na jumamosi hii tulivu.Tatizo langu kwenye hii sekta ya mapenzi ni kuona nampoteza huyu mpenzi wangu niliyejua ndo atakuwa mke wangu.Tatizo hili limeibuka baada ya...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila...
2 Reactions
230 Replies
16K Views
Za asubuhi, Ombi langu mshaurini huyu baba kijana nimetoa ombi na msimtukane mshaurini kwa upole mkimaliza nampa link ajisomee mwenyewe. Huyu kaka kijijini huko alinipenda tokea nikiwa form one...
12 Reactions
430 Replies
22K Views
[emoji427]SWALI[emoji427] Quraan inasema "arrijaalu qawwaamuna ala nnisaa" je mume akishindwa majukumu ya nyumba mke afanye nini? Hayo yote ni majukumu ya mume: Chakula kodi ya nyumba ada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Kuna binti wa kilokole nilimpenda sana tukaishi katika mapenzi mwaka mmoja na nusu baada ya hapo akanigeuka akakata mawasiliano nilipomuuliza tatizo ni nini akajibu yuko busy...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Habari wana, Aisee katika pita pita zangu nikakutana na hii kali. Sio sir kama ni kweli huyo dingi inabidi akapimwe choo kabisaa. Hii ni kibokoo hahahahahahahahah.
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Iko hivi, Enyi wadada, wengine mnajidhalilisha kupita kiasi. Kuna dada nimefahamiana naye mahali flani. Kweli nilivyomwona nilimwona ni mzuri sana kwa umbo, alafu ni mstaarabu (kwa hisia zangu...
12 Reactions
113 Replies
7K Views
Wakuu nawasalim, Mimi na rafiki yangu fulani ambaye tumeivana nae kweli kwa mda, cha kushangaza rafiki yangu huyu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada fulani hivi ambaye walitokea kupendana...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom