Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

WanaJF, salaam! Tundu Lissu inasemekana amezawadiwa gari na baadhi ya wadau - kama tukio hili ni la kweli basi gari hilo lazima liwe mali ya Bunge (Serikali) kwa sababu na mifano ifuatayo:- (i)...
10 Reactions
127 Replies
19K Views
Pole na majukumu mazito IGP Sirro kwa kutufanya angalau kuwa salama katika nchi yetu hadi sasa. Mimi ni mtanzania ambaye tumewahi onana mara mbili tuu,mara ya kwanza ni ITV malumbano ya hoja...
15 Reactions
26 Replies
4K Views
Hakuna asiuejua jinsi upinzani wa kisiasa wa Kenya ulivyo kuwa wa hatari hadi kupelekea watu maelfu kupoteza maisha yao kisa siasa. Lkn leo hii Uhuru na Raila ni watu wanao shirikiana hadi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiki kimekuwa kilio cha mda mrefu kwa wapenda michezo Tanzania kutokana na kukosekana chombo cha kusimamia na kutekeleza miradi ya miundo mbinu ya michezo. Lengo kubwa la wakala wa sehemu za...
1 Reactions
5 Replies
936 Views
Kamishna wa Tume ya maadili Jaji Harold Nsekela ameendesha semina inayohusu migogoro ya migongano ya maslahi kwa watumishi wa umma jijini Arusha. Jaji Nsekela amesema mtumishi wa umma anapaswa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ibara ya 39 inasomemeka hivi: 39.-(1) Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama- (a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii wizara inayoongozwa na makamba Jr imevunja mfupa uliwashinda mawaziri wengi waliotangulia kufungia matumizi ya mifuko Hamna kitu kilikuwa kinanikera jitu linatoka asubuhi na mauchafu linaenda...
4 Reactions
6 Replies
942 Views
Hali ya usafi wa mazingira Tanzania si nzuri hata kidogo na hairidhishi kabisa. Na imekuwa hivyo kwa muda mrefu tu sasa. Utawala wa sasa ulipoingia madarakani ulianza na mbwembwe nyingi na...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Kilichotekea juzi Bungeni katika dakika za lala salama za Bunge la Bajeti kimeendelea kuthibitisha kuwa Spika Job Ndugai ni bingwa wa kutengeneza migogoro! Spika Ndugai baada ya kutengeneza...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika Pita pita za pale Viunga Fulani nikakutana na mtu muhimu kwenye Habari za nchi kaniambia yafuatayo Kila mwananchi lazima alipe kodi. Kuna mfumo wa kuleta utaratibu kama wa nchi Soviet...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Haki ipo wapi? kila siku mnatuhubiria kisiwa cha amani kumbe mnaongea uongo? mnamfuza mgonjwa? juzi hapa Ded kampiga mtu risasi za moto tena kanisani mchana kweupe hata kazi hajasimamishwa na...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Swali hili nimelilenga zaidi kwa wahasibu na wakaguzi wa financial statements/ accounts. Kwamba katika ripoti ya CAG nimesoma habari ya mbunge wa chadema kumilikishwa gari lililonunuliwa kwa fedha...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
Wakati umefika kwa Mfuko wa PSSSF kuwa Kidigitali zaidi kama Majirani zao NSSF. Wanachama na Wastaafu wanapata taabu sana kujua na kupata taarifa zao kwenye huo Mfuko. Utaratibu wa kutoa namba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF. Kubwaga manyanga kwa wabunge na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Kati ya demokrasia na ufisadi awamu hii ya 5 kipi kimeshuhulikiwa kisawasawa?
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Mtu mmoja mmoja kuwa na tabia ya usahaulifu...na kupelekea kurudia rudia makosa yale yale ni jambo la kawaida...lakini ukiona Taifa zima linafanya makosa fulani na kusahau kabisa kosa...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Dotto Bulendu 1.Mbunge anapoongea bungeni,huongea huku akiwa na kinga kwa mujibu wa Katiba,Lissu alisema atarejea nyumbani September 7 hivyo angekuwemo kwenye bunge la September,Spika anahofu...
21 Reactions
50 Replies
5K Views
  • Redirect
Kiukweli Chadema kwa muda mrefu wamekuwa ni watu wa kujenga hoja zitokanazo na matukio na si utafiti. Rais Magufuli alipoingia madarakani Chadema walianza kumvizia wakiamini kwamba atakwama...
4 Reactions
Replies
Views
Tumemsikia Mhe.Spika akitangaza kumvua Ubunge Mhe.Lisu, tumemsikia akieleza kosa la kutojulishwa alipo Lisu na kutosainiwa fomu za mali Kama sababu za kumvua Ubunge. Pamoja na hayo tunakumbuka...
48 Reactions
93 Replies
8K Views
Binafsi nimetafakari sana,kuwa cheo cha Uraisi ni cheo kikubwa kinataka ,MTU mkomavu na mwenye ,mbinu za uongozi Membe atumiwe na wapinzani kumupata mgombea atakaye ipa Ccm kazi kubwa na hawawezi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom