Wana Jf,
Je? Nikweli mwanamapinduzi wa Kikuba (Ki-Cuba) mwenye asili ya Argentina, Ernesto Che Guevara amewahi kuzuru Tanzania zaidi ya mara moja na je? Lengo lilikuwa ni nini?
JULIUS NYERERE, ZUBERI MTEMVU NA BI. MAIDA SPRINGER ZANZIBAR 1957
Nimekutana na Bi. Maida Springer katika nyaraka za Sykes miaka mingi iliyopita
Leo nimepokea makala kutoka watu mbalimbali zote...
ALLY SYKES, JULIUS NYERERE, ALLY MWINYI TAMBWE NA BI. MAIDA SPRINGER MOSHI 1957
Kutoka mswada wa Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism The Autobiography of Ally Kleist Sykes.''...
Courtesy of CTV and Jugo Media
01 September 1990
Dar es Salaam, Tanzania
Ziara ya Papa Yohane Paulo II alipofanya ziara mwaka 1990 na kupokewa na Mh. Rais Ali Hassan Mwinyi.
Mh. Rais Ali H...
Zeppelin ni meli ndege iliyopewa jina la mbunifu aliyeiunda aliitwa Count Ferdinand von Zeppelin. Zeppelin ilileta mabadiliko makubwa katika usafirishaji wa mizigo kwa njia ya anga.
Jana ktk kongamano la muungano mchokoza mada ambaye ni makamo mwenyekiti wa Udasa alidai miaka 2000 iliyopita Zanzibar ilikuwa tupu bila wakaazi.Ndipo baadae wamakonde, wazaramo na wasukuma...
Unajua Zanzibar ya kale enzi izo ikiwa pamoja na Oman Sultanate kwa pwani yote ya Tanzania zilikuwa nazo kuanzia Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara hadi ndani kidogo?
Which means kama ingebaki hivyo...
Unaambiwa ukishangaa ya musa utaona ya firauni, na siku hizi watu wanasema akili za mtu anazijua mwenyewe. Ili kudhibitisha hayo najaribu kukuletea simulizi hizi za kweli zilizotokea nyakati...
Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa...
Naomba msaada kutoka mtu anayejua vizuri historia ya Zanzibar. Abdulrazak Gurnah aliyeshinda Tuzo la Nobel la Fasihi alizaliwa 1948 akaondoka kwenda Uingereza alipokuwa na umri wa miaka 18...
Ilikuwa mwaka 1964 jamaa mmoja anaitwa . Edward Makuka Nkoloso , alitaka kuwapeleka wazambia 15 pamoja na paka wake, kwenye sayari ya Mars, Hilo kundi kulikuwa na wahubiri ambao kazi yao ilikuwa...
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana na Shirika la umeme Tanzania...
KHITMA YA SALUM SHAMTE TANGA: SAYYID MUHAMMAD HASHIM AMEULIZA, ''YUKO WAPI SALUM SHAMTE MWINGINE?''
Moja katika siku kubwa za kukumbukwa katika mji wa Tanga ilikuwa siku mamudir wote wa mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.