JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Leo nimekutana na Ombaomba akanambia naomba hela. Nikamwambia sina hela, akasema sasa unazurula zurula nini si ukae hapa tuombe wote! [emoji23][emoji23][emoji23]*
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wakuu, Ndo kwa mfano una shida kubwa ya ajira, na wewe umesoma hadi elimu ya juu. Umezunguka muda mrefu kusaka ajira ukakosa. Mara paaap, ukapata mchongo kwenye kampuni ya usafi jijini...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wapo wengi maarufu na wasio maarufu wamekiki sana tanzania mwaka 2017 Kwa mtazamo wako ni mtu gani anastahili kupewa tunzo ya kukikisha nchi mwaka huu? kijamii kisiasa kimuziki n.k. Tirirka!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hivi inakuaje unakuta mdada ni mrembo kisura mpaka figure matata. Ila ni mlafi balaa. Yaani ulaji wake si wa kistaarabu. Kila kilicho mbele yake yeye twende. Hii tabia naomba muiache mara moja...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Wana bodi, Miaka miwili kama sio mitatu iliyopita tulizoea kusikia watu wakijiita.. Rais wa kawe, rais wa mbagala, manzese, kiwalani, salasala, mara rais wa wasafi, rais wa kimara temboni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Martha was breastfeeding her child and her friend Lisa seated next to her said. "kananyonya kama babake" [emoji87][emoji12] ...ndio saa hii tunajaza PF3 hapa kwa police station
1 Reactions
3 Replies
894 Views
1. Kununua nyumba kwa 900 2. Kukopeshaka 3. Kutekwa Na kupewa wali samaki Kama Roma Mkatoliki 4. .................. 5. .................. malizia zako.
0 Reactions
7 Replies
788 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Nataman sana kurud nchin mwangu tz maana siyo kwa furaha hiyo Kuna watafit hudai watu wa tanzania hawana...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tafadhari, mwenye kujua! Nipo Dar ila maduka ya saa siyajui vizuri. Saa aliyovaa huyu binti nimeipenda sana.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa kuwa staili ya serikali yetu ni kufanya ziara za kushtukiza jamaa mmoja hivi karibuni naye aliamua kutekeleza kwa vitendo staili ya serikali pale alipopanga kufanya ziara kadhaa za kushtukiza...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Yaani Wadada wa siku hizi bana, Unakuta yupo Bafuni anaoga, halafu nywele kaziacha Chumbani.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kulikuwa na mkutano wa matajiri wote kutoka nchi zote duniani, Tanzania iliwakilishwa na S.S.Bakhressa. mlangoni unatakiwa useme unatokea nchi gani na unafanya biashara gani. ilipofika zamu ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Huu ni Mtihani Tuwapeleke...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
SIONGEI ENGLISH TENA: Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama na ndege, kwani:- PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia anasema NOW, NOW! NG'OMBE:Naye acposhiba utamsikia MORE, MORE...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
BREAKING NEWS!!!!! Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Mtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom