International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

‘Mwaka Mpya’ Mbinu ya Wanademokrasia Kusahaulisha Malengo ya Umri Mwaka 325 AD Kanisa Katoliki lilifanya mkutano mkuu wa kwanza huko Nicea. Mkutano huu uliitishwa na Mfalme Constantine (mpagani)...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa wanaoifahamu vema lugha ya kiingereza naomba mnitafasirie maelezo haya: Not to be argumentative but "game changer" is an apt description. Andrei Martyanov wrote about this in "Losing Military...
0 Reactions
Replies
Views
As long as I am President of the United States, Iran will never be allowed to have a nuclear weapon. Good morning. I'm pleased to inform you: The American people should be extremely grateful and...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Utafiti umeonesha nchi za Afrika zinamkubali Rais Trump kuliko Marekani yenyewe hata baada ya Trump kuzitukana nchi za Afrika kwa tusi kubwa “shithole countries “. Ndio maana hata viongozi wabovu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati moto ukiwaka kwa kasi baina ya Marekani na Iran ghafla bwana Putin akapiga ziara ya kushitukiza Syria kisha akaelekea Uturuki kukutana na Edorgan. Binafsi nikajua ziara yake inahusiana na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
January 8, 2020 Washington DC Trump addresses the nation after Iran attacks US military facilities in Iraq Iran's Islamic Revolutionary Guard reportedly launched the attack in revenge for Trump...
0 Reactions
Replies
Views
Mzuqa wanajamvi! Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Jibu la swali hili ni HAPANA kwasababu ifuatayo: China [emoji630] iliitangazia dunia May 2019 kuwa itapingana na vikwazo vyovyote vya marekani vya kumzuia kununua mafuta kutoka Iran. India...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
  • Redirect
For sure nimefanya kazi nying zinazohusiana na utalii,, Kufanya kazi na watu kutoka USA, Canada pamoja na UK ni faraja kubwa na ni watu Wa tofauti sana na watu wanaofanya utalii watanielewa vzr...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Aman iwe nanyi Huo ndo ukweli kwamba America ni baba wa Uoga ulimwengun wala hana uwezo wa kuingia vitan na nchi kubwa kama Iran Kazoea kuonea vidaa tu manyangumi hawawezi Poor America Poor...
2 Reactions
Replies
Views
Hivi majuzi tumesikia kua serikali ya bwana Trump imeiweka kampuni ya mawasiliano ya kichina, Huawei kwenye orodha ya makampuni machafu(balcklist). Je umewahi kujua chanzo au hiztoria ya mgogoro...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
  • Redirect
Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitiza kuwa hakuna mwanajeshi wa Marekani aliyekufa kwenye shambulizi la makombora lililofanywa kwenye kambi mbili za jeshi hilo zilizopo nchini Iraq
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wataalam wa sauti wamesema kuwa wakati Trump anaongea kuhusu suala la Iran leo alikuwa akitetemeka. Yaani sauti yake ilikuwa inatetemeka. Je Trump ashaanza kuwa muoga na kuwa na heshima. Je...
1 Reactions
Replies
Views
Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote. Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo...
4 Reactions
115 Replies
10K Views
"I am not a conspiracy theorist but recall that on December 27th, China, Iran, and Russia began an unprecedented exercise in naval war games and training in the waters around Iran. Clearly big...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Rais mwenye maneno mengi trump ameibuka na kudai hakuna hasara wala maafa kwa shambulizi la irani badala yake ametaka vikwazo viongezwe zidi ya iran
2 Reactions
Replies
Views
Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi...
3 Reactions
107 Replies
10K Views
IRAN inaitafsiri amri ya Rais Donald Trump wa Marekani iliyopelekea kuuliwa Meja-Jenerali Qassem Solaimani wa Iran Januari 3, 2020 kuwa ni mwanzo wa vita baina ya Marekani na Iran. Kuna hata...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashirika mbalimbali ya ndege duniani yamekwepa anga za Iran na Iraq kufuatia mzozo wa Marekani na Iran. Kufuatia shambulio la kombora la Iran dhidi ya kambi za kijeshi ambapo vikosi vya jeshi la...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom