Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Leo katika pita pita yangu nimepita kwenye account ya instagram ya clouds FM nikaona Video ambayo Alikiba alikuwa ametengeneza tangazo la Coke studio kuonesha kuwa Jumapili hii atakuwa Coke...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Redirect
kwa nguvu ulokuwa una unaitumia kumkataaa mtoto wa hamisa kiasi cha kumuimba kwenye nyimbo ya #fresh remix then Leo unakuja kumkubali!!!!! Na kwa namna ulivyomkana hamisa kias cha ku tweet kwamba...
3 Reactions
Replies
Views
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond...
12 Reactions
58 Replies
10K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za uhakika toka wcb ni kwamba msanii diamond leo anatarajiwa kuzindua album yake ya kwanza kabisa tangu aanze mziki.. Inasemekana kuwa diamond atafanya uzinduzi huo kupitia mahojiano maalum...
1 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Wakuu hii ishu msipoteze mda wenu 100% kuifuatilia, Diamond platnumz ni mchezo mwingine kauandaa kwa ajili ya kuachia nyimbo mpya ndani ya kipindi cha Leo tena cha cloudsfm na cloudstv Hii...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio. Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze. Alikua...
5 Reactions
61 Replies
15K Views
  • Redirect
Naona kumshusha kimuziki imeshindikana, sasa ni upande wa pili kumshusha kimahusiano. Hamisa kama alimegwa kamegwa tu, na si alikua amejitega kwa sababu ya nia yake aliyokua anaijua???? Basi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jina limebadilishwa na kama mnavyoona picha baba wa mtoto ni Daimond na za chini ya kapeti mama mtu na Esma eti hiyo ni kumkomesha zari[emoji23][emoji23] Hamissa nilikua nasubiri hii siku maana...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hamisa mobeto inasemekana ana moto wa Diamond. Diamond kakataa mtoto. Hamisa ameforce kweli kingi mpaka na kubadili jina la mtoto huko insitagramu. sasa mi nauliza tu.... ivi uno mtoto angekua...
0 Reactions
Replies
Views
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
  • Redirect
Mond mond mond! Mimi shabiki wako mkubwa umepwaya kimziki sana miaka hii. Mond saivi unaanza kuisha kwa ajili ya maskendo hasa haya ya wanawake. Daimond Zari kakuzalia watoto wa wawili? Muheshim...
0 Reactions
Replies
Views
Miaka kama minne iliyopita B-hits ilikuwa kati ya studio zilizokuwa zikitoa hits nyingi chini ya pancho latino mafia na hammy B. Mtakumbuka ngoma kama Bado nipo nipo - FA Dakika moja tu - FA ft AY...
4 Reactions
90 Replies
9K Views
Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya Diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013, Dillish Mathews, Zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo...
3 Reactions
97 Replies
19K Views
Baada ya ya moto band kufa, hawa vijana sote tunajua uwezo mkubwa waliokua nao kimuziki huku kila mmoja akiwa na upekee wake kuanzia kuimba mpaka wakiwa stejini. Kwasasa ni wawili tu ndo ambao...
5 Reactions
103 Replies
28K Views
Sio mpenzi sana wa mitandao ya kijamii lakini leo nimeamuwa kupita uko instagram kujionea nini kinaendelea kati ya SEDUCE ME ya kiba na ZILIPENDWA ya wcb, cha kustaajabu mpaka sasa tangu nyimbo...
7 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom