Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi ulishawahi kukaa na ukafikiria kwamba utakuja kufanya copy nyingine kama ile ya wimbo unaoitwa SIWEMA? Kama bado hebu jaribu kufikiria itakuaje kama utazama studio na kuingiza vocal...
6 Reactions
59 Replies
9K Views
Nimesikia kupitia East Africa Radio kwamba hukumu ya Nguza Viking na wanae kupitiwa na jopo la majaji hapo oktoba 30/2013. Hatua hiyo imefikiwa baada ya upande wa utetezi ukiongozwa na Wakili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza pole sana Lulu kwa matatizo, Ila ili upate uhuru wa moyo na nafsi nitakuomba utulize akili umalize time yako urudi nyumbani ili watesi wako wasipate sababu ya kukunanga tena. Ila sasa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Happy Birthday To The QUEEN OF NY." New Yorkers get real touchy when people decide to claim a position of royalty in the city, as they should. New York City has a rich history and on top of that...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Je amefika level za malengends kwenye mziki wa hip hop? Kawafunika? Nikisikiliza nyimbo zake naona jamaa anajua mno
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Nimeamua nicompose NYIMBO about Christmas, ni nyimbo nzuri sana bt nashindwa i UPLOAD hapa,na hii ni sehemu ya kipande tu, (dancing clip promo) If anyone interested ani DM namba yake nimtumie kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Kuanzia leo 9 Desemba 2017. Msamaha wa Rais Dk. J. P. Magufuli
0 Reactions
Replies
Views
Huu ni utabiri ambao bila shaka utatimia kama sio hivi karibuni basi ni katika muda muhimu wa majeruhi ambao utawaacha watu midomo wazi na kuipa CCM sifa ya chama chenye stratejia za kuigwa barani...
8 Reactions
74 Replies
11K Views
Kigogo wa wema, Clement Kiondo ‘CK akiwa bize jikoni. NA Waandishi wetu, Risasi Jumamosi Dar es Salaam: Upepo umebadilika! Aliyekuwa kigogo serikalini katika idara nyeti kabla ya ‘kutumbuliwa’ na...
1 Reactions
91 Replies
24K Views
Baada ya kuandamwa mitandaoni kuwa tangu amekuwa staa bado anaishi nyumba za kupanga maeneo ya Kijitonyama jijini Dar, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefungukia madai hayo kuwa wengi...
3 Reactions
31 Replies
10K Views
Yaani nimeanza kuperuzi Youtube tu, nikaona kitu iko kwa juu. Sasa nairudia kwa mara ya nane, nafikiri leo ndio itakuwa nyimbo yangu. Mafundi wamekutana
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Ben10 uchebe amempa masaa 24 ben 10 mwenzake baada ya muda huo kupita hata husika na chochote
1 Reactions
75 Replies
9K Views
Habar wana Jf Katika watu waliogushwa na kitendo cha Faiza kupost picha ya Utupu mm mmoja wapo polisi wameanza kulifanyia Kazi
4 Reactions
88 Replies
14K Views
Kumeibuka hisia tofauti juu ya picha hii. Wengi wamehoji kwa nini mkono umeshikilia hiyo sehemu ?Wengine wanadai kuwa jamaa ana kibamia ndio maana katumia mkono kukinga kisionekane, kwa mujibu wa...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Nlisoma maelezo ya mtu mmoja kumtaka mbunge wa chadema avunje ndoa baada ya mumewe kuhamia ccm. Nlishangaa zaidi kuona kuna watu wanaunga mkono jambo hilo. Ndoa siku zote hubak kuwa ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ingawa wengi hamjui kilichomfanya Daimond asifanye show pale mlimani lakini ukweli ni kwamba ile kolabo na Rick Ross ndiyo sababu kuu iliyomfanya Diamond asifanye show ya bure. Diamond anataka...
5 Reactions
27 Replies
5K Views
Salam kwenu... Nimejaribu kuwafuatilia hawa wasafi naona wote wanavaa mkufu wenye kaalama kama ma msalaba sijui no agizo toka kwa top management. Ama kunakitu wanaabudu ama ni sare kwao... Na...
1 Reactions
86 Replies
29K Views
  • Redirect
Kama watanzania kwa kauli moja tunakubaliana Diamond ni kaka wa taifa basi huyu jamaa ndio baba wa taifa kwa sasa,mama Diamond beki hazikabi kwa jamaa. Ana Ofisi yake pale WCB na inasemekana...
0 Reactions
Replies
Views
Nimekuwa namfatilia huyu msanii mda mrefu alichonishangaza zaidi kwenye hii nyimbo aliyofanya kwa akon huyu dogo ni talented sana kaimba kama wakina chrisbrown huwezi sema ni mtanzania lakini bado...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom