A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI.
Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko makubwa kwa kuona kada yangu ya Elimu inachafuliwa kwa uzembe na tamaa za uongozi.
Yafuatayo ni baadhi ya Maudhi ambayo yamefanyika katika Halmashauri ya MANISPAA YA MOSHI katika Idara ya Elimu.
Mungu atende miujiza kunusuru Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu Kwa haya Maovu.
Walimu tunaunga mkono juhudi za Mama yetu Samia Suluhu Hassan na ofisi yako kwa ujumla
Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko makubwa kwa kuona kada yangu ya Elimu inachafuliwa kwa uzembe na tamaa za uongozi.
Yafuatayo ni baadhi ya Maudhi ambayo yamefanyika katika Halmashauri ya MANISPAA YA MOSHI katika Idara ya Elimu.
- Kuomba pesa kwa Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata kiwango cha kuanzia Tsh 100,000 hadi 200,000/=
- Kutembea Na Baadhi Ya Walimu /Wake Za Watu Mfano shule za Uhuru,Kiboriloni,Mjipya,Kibo na Karanga
- Kutoa nafasi za uongozi – Uratibu /ukuu kwa kupokea rushwa ya ngono na fedha, fuatilieni mkuu wa Kibo S/Msingi.
- Kupeleka miradi kwenye shule za marafiki zake tu ili apate 10% ya fedha za mradi ( kwa kurudiarudia mfano Shirimatunda /Uhuru /Mgereza/Pasua /Njoro)
- Kutishia, kufadhaisha na kuwatesa walimu kwa kuwafungia mishahara kinyume na sheria ya Utumishi wa Umma- Ushaidi upo.
- Kutumia ofisi vibaya kwakujilipa posho bila kufanya kazi – Safari za mara kwa mara – kwenda Handeni ,Dodoma na Dar-es-saalam, safari binafsi kwa gharama za serikali.
- Kuwanyanyasa na kuwakandamiza watumishi walio katika idara ya Elimu kwa kuwatishia kuwaondoa pale ofisini.
- Kutumia Walimu Wakuu ambao ni Wanawake zake kuwaonea na kuwakandamiza walimu waliopo chini.
- Kuwanyima walimu ruhusa wakati ni haki ya kimsingi na kuwahamisha baadhi ya walimu kwa mchongo apate pesa, wanagawana fedha ya uhamisho na wanaohamishwa.unakuta mwalimu mmoja anahama hata mara tano kwa muda mfupi. Mfano Mwl Hando.
- Haelewani na wakuu wengine wa idara kutokana na tabia zake hizo mbaya katika Manispaa ya Moshi.
- Kuficha Maovu wanayofanya wazazi kwa Mabinti zao,wapo watoto wa kike wanalawitiwa na wapo watoto wa kiume wanaonajisiwa lakini kesi zikipelekwa kwa Afisa Elimu anazizima kwa kuchukua rushwa kwa wazazi hao ushahidi upo..
- Kuna wanafunzi wa shule za msingi wakipata mimba wanashawishiwa watoe ili kulinda nafasi yake hataki ijulikane uchafu uliopo Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu..walimu tunaumia sana kuona kizazi kinaharibiwa eti tu kisa kuhofiwa cheo chake kuchafuka..Hafai mtu huyu, uchunguzi ufanyike yatabainika maovu haya..
Mungu atende miujiza kunusuru Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu Kwa haya Maovu.
Walimu tunaunga mkono juhudi za Mama yetu Samia Suluhu Hassan na ofisi yako kwa ujumla