Recent content by Kiboko ya Jiwe

  1. Kiboko ya Jiwe

    News Alert: Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Mwarabu kila akiambiwa kuwa Myahudi ni mtoto wa Mungu haelewi
  2. Kiboko ya Jiwe

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    😂😂😂😂😂 Bongo nyoso. Yaani kila leo wanatoa mwendelezo wa vituko show
  3. Kiboko ya Jiwe

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  5. Kiboko ya Jiwe

    Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

    Hii nchi hao wakuu wa taasisi na vitengo wako busy kupiga madili tu
  6. Kiboko ya Jiwe

    Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

    Daaaaahh, so sad Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa? Ili afedheheke katika jamii? Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu. Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Wanasheria nchi hii wana akili sana!

    Vyama na taasisi zenye jina la Tanganyika viko vingi tu.
  8. Kiboko ya Jiwe

    "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

    Kuna Mzee job kazimia mara mbili. Ahahahah Miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikataa dili la hela nyingi akachoma HQ, kumbe Jamaa aliyemchoma anakula na boss. Akikumbuka anaishia kulaani
Back
Top Bottom