Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote.
Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Daaaaahh, so sad
Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa?
Ili afedheheke katika jamii?
Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu.
Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine...
Kuna Mzee job kazimia mara mbili.
Ahahahah
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikataa dili la hela nyingi akachoma HQ, kumbe Jamaa aliyemchoma anakula na boss.
Akikumbuka anaishia kulaani
Hiyo fedha ya kila mwezi watumishi hatuitaki wapewe wanasiasa wanaolipwa pesa nyingi maana tayari wanastaafu wakiwa na Daladala, lodge, fremu Kariakoo n.k.
Sisi tunataka huge cash ili tufanye jambo tuliloshindwa kufanya tukiwa watumishi kwa miaka mingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.