Zomea zomea yamkumba Sitta kwenye harusi

Binafsi nilikua namheshim sana Sitta lakn kwa upupu anaoufanya sasa mh! Namshauri apumzike na mambo ya siasa akalee wajukuu huko kwake
 
Umefika mwisho au unaendelea
 
Hili lizee hovyo kabisa: lili i-personalize issue ya richmond kwa maslah yake matokeo yake jamii zote zimekalia kujadili mijadala ya ufisadi isiyoisha na isiyokuwa na majibu.
 
Hili lizee hovyo kabisa: lili i-personalize issue ya richmond kwa maslah yake matokeo yake jamii zote zimekalia kujadili mijadala ya ufisadi isiyoisha na isiyokuwa na majibu.
hapa kuna mawili,either huna elimu hata kidogo,au umetumwa na EL,chagua moja hapo!
 
Safi sanaaaaaaaaaaaaa!!!simpendi huyu baba juzi tu kanikera sana kwa kauli yake ya kinafki ati wabunge wa upinzani ni wanafki.akome kuringa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…