Yanga acheni tabia za kuwaza ushirikina kila mnapobanwa mbavu!

Watopolo washamba sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa hutowaelewa hata siku moja.
Kazi yao kulalama tuu.Wasiposema wamerogwa,watasema waamuzi wanawanyonga,usiposikia waamuzi utasikia tff inawabeba Simba kwa kuwatunzia viporo.Ili mradi tu waonekane na kutafuta huruma.
 
watu mnapofeli ni kujifanya hamuamini ushirikina mbele za watu ilhali juma ya pazia ni wachawi wakubwa...
Usisumbuke na hawa nyau fc. Yamesahau kama kwenye match ya marudiano dhidi ya plateu United walipeleka nyau uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…