2k Genius Member Joined Feb 27, 2011 Posts 88 Reaction score 9 Jan 4, 2014 #1 Htc 7 trophy...window phone 7.8 iko ktk hali nzuri sana....mwenye uhitaji 0764731318
Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,265 Reaction score 1,092 Jan 4, 2014 #2 Picha? Specs? Bei?? Yaani hv ni vitu tunapigia kelele kila siku na kila siku mwafanya hivi hivi?? Why??
Picha? Specs? Bei?? Yaani hv ni vitu tunapigia kelele kila siku na kila siku mwafanya hivi hivi?? Why??
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jan 4, 2014 #3 Taja bei mambo ya kupiga simu yalishapitwa na wakati na je inakubali application za tigo pesa na m-pesa? Maana hizi windows phone zinazingua sana hii kitu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Taja bei mambo ya kupiga simu yalishapitwa na wakati na je inakubali application za tigo pesa na m-pesa? Maana hizi windows phone zinazingua sana hii kitu. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
2k Genius Member Joined Feb 27, 2011 Posts 88 Reaction score 9 Jan 4, 2014 Thread starter #4 Prince Nadheem said: Picha? Specs? Bei?? Yaani hv ni vitu tunapigia kelele kila siku na kila siku mwafanya hivi hivi?? Why?? Click to expand... bei ni 220... Specs:-window 7.8,ram 578mb,internal 8gb,camera 5mp with flash
Prince Nadheem said: Picha? Specs? Bei?? Yaani hv ni vitu tunapigia kelele kila siku na kila siku mwafanya hivi hivi?? Why?? Click to expand... bei ni 220... Specs:-window 7.8,ram 578mb,internal 8gb,camera 5mp with flash