Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
#kuna nyumba yenye chumba1,sebule,choo cha ndani,jiko,parking ipo.Ipo mbezi beach samaki.Bei laki2.5/mwezi
Kaka Dalal unazingua Mbona no Hapatikan mi nawapa watu no yako wanasema Hapatikan hata mi
Nimejarib kuku tafuta naambiwa" Thank yu fo using Vodacom ze # ur Collin iz currently not Available/Rechabo" au Ndo ring tone yako Iyo niwaambie waendelee kupiga tu utapokea.
niaje kaka dalali
mie nahitaji chumba kimoja mitaa hiyo ,bei gani
Hii inayo fensi?