Kama hii ni biashara rafiki basi ipeleke Matangazo Madogomadogo, hapa kwa kawaida hatuuzi chochote tuna-share ujuzi na elimu -kwa manufaa ya wote.
BTT - unataka uulizwe nini ilhali hata maelwzo yako hayatoshelezi. Boresha uzi wako kwa kutoa ufundi na mbinu za kutengeza Web templates bora na za kuvutia, hiyo ndio inakwenda na spirit ya TGSF