Biny Member Joined Sep 27, 2018 Posts 33 Reaction score 8 May 20, 2019 #1 Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje?
Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje?
mzee_wa_mishemishe Member Joined Aug 6, 2013 Posts 61 Reaction score 79 May 21, 2019 #2 Biny said: Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje? Click to expand... Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ?
Biny said: Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje? Click to expand... Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ?
edwin89 Member Joined Apr 12, 2016 Posts 98 Reaction score 106 May 22, 2019 #3 Karibu mkuuuu tupo wengi
biznes_dealz JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 392 Reaction score 166 Sep 17, 2020 #4 mzee_wa_mishemishe said: Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ? Click to expand... Kwa mfano nauza bidhaa online, nahitaji website simple kwa ajili ya kuwadirect wateja wangu wanapofungua facebook au Instagram Ads, je itanigharimu kiasi gani?
mzee_wa_mishemishe said: Karibu mkuu ni biashara gani unafanya ? naomba unielezee kidogo ili nijue ni website ya aina gani unahitaji ? Click to expand... Kwa mfano nauza bidhaa online, nahitaji website simple kwa ajili ya kuwadirect wateja wangu wanapofungua facebook au Instagram Ads, je itanigharimu kiasi gani?
DeepMedia Member Joined Apr 23, 2019 Posts 30 Reaction score 6 Sep 17, 2020 #5 Jipatie website kwa gharama kuanzia Tshs 450,000 tu. Unapata domain .tz na hosting bure kwa mwaka mzima Utapata page zisizozidi 7 Utapata na tracking tool itakayokuwezesha kuona na kuratibu idadi ya wanaotembelea website yako Free support and maintenance kwa kipindi cha miezi mitatu(3) pale website yako inapkamilika Kwa mahitaji ya nje zaidi ya hapo tafadhali wasiliana nasi kwa msaada zaidi Mawasiliano/ Call/ WhatsApp 0679247155 Email: sales@deepmedia.co.tz Hizi ni baadhi ya kazi zetu
Jipatie website kwa gharama kuanzia Tshs 450,000 tu. Unapata domain .tz na hosting bure kwa mwaka mzima Utapata page zisizozidi 7 Utapata na tracking tool itakayokuwezesha kuona na kuratibu idadi ya wanaotembelea website yako Free support and maintenance kwa kipindi cha miezi mitatu(3) pale website yako inapkamilika Kwa mahitaji ya nje zaidi ya hapo tafadhali wasiliana nasi kwa msaada zaidi Mawasiliano/ Call/ WhatsApp 0679247155 Email: sales@deepmedia.co.tz Hizi ni baadhi ya kazi zetu