Mzizi Mkavu, ni kweli uchawi uko sehemu nyingi duniani isipokuwa juu ya Israel. Lakini wewe ni kitu gani kinakufanya uamini kwamba paka mweusi ni uchawi? Kwani hakuna paka mweusi wa kawaida kama kiumbe tu ambacho si uchawi?
Kwa nini kusimamisha mchezo kumpisha paka apite unakukimbizia kwamba wanaamini uchawi?
Huko Uhispaniola hakuna waafrika (kama ndio unawafahamu kwa uchawi), hadi uwahamishie hicho kitu wazungu?
Je kama ni nyau wa kawaida tu alikuwa anajipitia nao wakaamua kumuacha apite kwa utaratibu wao wa kuthamini haki za wanyama?
Wewe naona ndiye umekubuhu kwenye imani za kichawi!.
Lini unakuja bongo?