Wapi naweza kupata vifaa vya maabara kwa Mwanza

kingmb94

Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
53
Reaction score
37
Msaada : Mwanza kwa anae fahamu mahali wanapo uza vifaa vya Maabara kwa bei nafuu kama Microscope n.k naomb anielekeze naitaji kwenda kununua.
 
Karibu nikuuzie nipo dar kama hutojari mwanza naweza kukufanyia delivery mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…