Wapi napata huduma ya massage Dar es Salaam?



ukitaka utumbo wanakupa mkuu??
 


hivi unatangazaje biashara Tanzania tena uswahilini unaweka picha za wahindi wanafanyiwa massage? Sijui labda unataka kuvutia wahindi lakini Muhindi alivyo prejudiced anaweza kuja kwenye massage parlor yako ya kiswahili Bungoni kwa Bi Kidawa?

Wazawa tunajidhalilisha sana, tangazo lenye muhindi kwangu halinivutii zaidi, Muhindi of all the people !!!!. daaaaah... kazi ipo mtu mweusi
 
Duuh ka script ya porn
 
hahahahha...aisee nimeipenda hii..
nipo moshi..
wikiend ijayo nakuja huko lzm nipitie hiyo sehemu... ahsante mkuu...
[HASHTAG]#tumeumbwa[/HASHTAG] kwa ajili ya mambo mazuri tu!!!
 
Tunamsingizia tu shetani wakati ni akili zetu.[emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…