Jomba, kitabu gani hicho?Ikiwa umejiunga JF na unatafuta Cheap popularity kutoka kwa wanaume,umefaili sana,sikuhurumii wewe ila nahurumia miguu iliyobeba hicho kichwa kisicho na akili.View attachment 779389
Hivi aliyemnyoosha baba yake mdogo Nancy, ALIKUWA NI MWANAMKE?Nianze kwa kucheka tu jamani, yani yule baba yake mdogo nancy alinivunja mbavu,lile fumanizi lilifanikiwa kwa asilimia mia wanajamii wenzangu, baba mdogo alitangulizwa na lodge ni ya lijamaa langu la zamani nae nilimuelezea akaongezeka kwenye wale vijeba wanne,kila kitu kiliratibiwa vizuri huku nancy akishirikishwa mambo machache tu na kulishwa maneno pale alipopigiwa simu na baba mdogo.
Kimbembe kilikua kule ndani baba mdogo alivyoshindwa hata kurusha ngumi moja jamani kulikua na silaha kibao kama tv,bomba zile zakushikia mapazia,chaga za vitanda n.k alishindwa kabisa kupigana yule fedhuli mpka nikasema hata mimi mwenyewe ningekomaa bila yale majamaa ningepiga tope hata kwa vidole
Atakua ni promota wa mieleka huyuWakipigana wewe unafaidika na nini?
Atakua ni promota wa mieleka huyu
Sijaona kama amewatukana
Umemaliza kaka. Wise option.. that how huwa nawaza. Naangalia na mtu mwenyewe wa kumpigania, sasa kama demu mwenyewe ni kitrika kwann nipoteze nguv zangu wkt kesho atarudia yale yale...Kupigana tunaweza sisi kama wanaume, Lakini tunaangalia kipi kinachotufanya tupigane?
Tunapiga kwa nini?
Faida zake ni zipi?
Tutafaidikaje baada ya kupigana?
Hasara zake ni zipi?
Je unayempigania naye ameacha kila kitu kwa ajili yako?
kritika
Mkate huwezi kushindana na chai hata km ukiwa mkubwa kiasi gani lazima utakuwa mdogo tu.Yanaudhi sana haya madubwana
Ukishajua mwanamke hakufai kuwa mke hapo ni kuendelea kula mzigo tu hata km ukimfumania. Unafanya mazoezi ya kila style ukifika muda wa kuoa unavuta chuma kipya kizuri unaweka ndani halafu unaanza kutumia uzoefu ulioupata ukiwa ndani. Upigane kisa mwanamke ambaye hauna mpango naye. Si utakuwa ukichaaUmemaliza kaka. Wise option.. that how huwa nawaza. Naangalia na mtu mwenyewe wa kumpigania, sasa kama demu mwenyewe ni kitrika kwann nipoteze nguv zangu wkt kesho atarudia yale yale...