Tafadhali wadau kwa usumbufu, Keyboard ya laptop yangu ilipata hitilafu nikajaribu kutafuta Uganda na Kenya nimekosa . Nimefanikiwa kuipata online ila kuinunua imekuwa taabu kutokana na masharti ya wauzaji. Kama kuna Mdau anayeweza nikamtumia hela akaninulia then akanitumia kwa dhl . Link hii hapo chini na ndiyo keyboard ya model ninayohitaji