nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,091 Reaction score 15,207 Jun 4, 2016 #1 Lina futi 45,limedizainiwa na usalama wa taifa lao kama kasumba yao ni jeusi....JET BLACK Likikata mtaa....maeneo ya Kagongwa Akiwasili kwa mama yeyooo Kabla ya basi hilo walikuwa wanakodi halafu linafitishwa vifaa vya kiusalama nk nk wa kadha Jioni mitaa ya chuo cha mkwawa Akishuka na tabasamu kama kawaa Hapa wabongo tunaweza kuiga...yutong etc etc wa xxxtraaa Akiingia kwa mama muuza Akiwaaga baada ya
Lina futi 45,limedizainiwa na usalama wa taifa lao kama kasumba yao ni jeusi....JET BLACK Likikata mtaa....maeneo ya Kagongwa Akiwasili kwa mama yeyooo Kabla ya basi hilo walikuwa wanakodi halafu linafitishwa vifaa vya kiusalama nk nk wa kadha Jioni mitaa ya chuo cha mkwawa Akishuka na tabasamu kama kawaa Hapa wabongo tunaweza kuiga...yutong etc etc wa xxxtraaa Akiingia kwa mama muuza Akiwaaga baada ya
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,635 Reaction score 89,398 Jun 4, 2016 #2 bado pikipiki na baiskeli ya obama
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,230 Reaction score 9,360 Jun 4, 2016 #3 Mi nasubiri school bus la watoto wa obama
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,091 Reaction score 15,207 Jun 4, 2016 Thread starter #4 KENZY said: bado pikipiki na baiskeli ya obama Click to expand...
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,881 Reaction score 7,535 Jun 4, 2016 #5 Waliltete kwenye zile barabara za mwendo kasi waone shughuli yake ndani ya masaa mawili
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,091 Reaction score 15,207 Jun 4, 2016 Thread starter #6 falcon mombasa said: Mi nasubiri school bus la watoto wa obama Click to expand...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jun 4, 2016 #7 Mbona ndani yake hatuonyeshwi
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,091 Reaction score 15,207 Jun 6, 2016 Thread starter #8 Chapa Nalo Jr said: Mbona ndani yake hatuonyeshwi Click to expand...
Sirini JF-Expert Member Joined May 25, 2016 Posts 743 Reaction score 1,053 Jun 6, 2016 #9 Kuna wanadamu wameumbwa kuifaidi dunia
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,971 Jun 6, 2016 #10 nzalendo huko vizuri kwa mipicha picha ikiombwa tu umeipata,basi nami naomba picha ya wife wa Obama akiwa anaoga.
nzalendo huko vizuri kwa mipicha picha ikiombwa tu umeipata,basi nami naomba picha ya wife wa Obama akiwa anaoga.
bokilo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 597 Reaction score 1,349 Jul 20, 2016 #11 He? Mbona huyu ni Lowassa??