Wageni Karibuni Rwanda !!

Mwanamke ni 360 degrees. Uso ni 10 degrees tu. Hayo mengine vipi?
Wapo machangu wazuri kwelikweli lakini jaribu kuweka ndani uone moto wake
 
Sijui kwanini tu binafsi hawa wadada wa huko huwa hawanivutii kabisa. Ila nna jamaa yangu huyo mpaka amemuacha mchumba wake wa tangu udogoni kisa mwanamke wa kinyarwanda.
 
Wanavutia haswaaaaaaa.........lakini wana maji si mchezo.....
 
Wanawake wa rwanda wazuri sana kuanzia maumbo hadi sura ila shida yao maji pwapwapwa!mi nasema tuuu iiihhhiiiii
 
Wanawake wa rwanda wazuri sana kuanzia maumbo hadi sura ila shida yao maji pwapwapwa!mi nasema tuuu iiihhhiiiii
It should be type of food eating....tatizo la maji lipo kwa zone ya huko kwetuuu pia....hasa kule kwenye siku ya gulioooo.....
 
It should be type of food eating....tatizo la maji lipo kwa zone ya huko kwetuuu pia....hasa kule kwenye siku ya sokooo.......
Wanakula sana ndizi kikojozi
 
Wanakula sana ndizi kikojozi
Ha ha ha

Kuna mzee mnoko wa huko alikuwa anawafungia wajukuu zake teenager's; kumbe jamaa kazama getoo lao mapemaa anafanya yake....

Mzee wa watu mara kaona mchilizi wa maji toka chumba cha watoto yakija sebureni......aaaahhh kagonga mlango haufunguliwi....nyiiie kiiina jusitaaa mbona munamwaga maji hadi sebureni hivi kwaa nini sasa ??? Mzee mkali balaaa....

Mabinti hawafungui mlango maji yanaongezeka...

Aisee akaamua kuondoka na mlango hadi ndani akakuta jamaa anaendelea kubajua amri ya sita....tena kwenye ile session ya...siku ya guliooo...

Mzee wa watu chini....kimyaaa....
 
Na hao walikuwa watoto ukikuta mama yao sasa si balaa......anarusha maji kama gari la kuzima moto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…