Volvo truck double diff

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
768
Habari wakuu, natafuta lorry 3 za kununua ziwe volvo truck FM au mercedes benz actros/atiga double diff (6*4) mwaka kwanzia 2000 kuendelea lakini sharti ziwe left hand sababu nataka kuzipeleka rwanda! Pia natafuta trailler za tipper (semi) body za chuma sio aluminium
 
Mfikilwa pls pm bei kama nikiridhika nikupe kazi
 
Nipe bei mkuu
 
Hizo ni bei cif dar au
 
ndiyo ni CIF Dar. hizo ni LHD mkuu, kama unataka za RHD zinapatikana pia, ama kama zinakuwa za 6X2 ni afadhali kidogo, hizo ni 6X4 mkuu, zote zina tipping gear
 
Hizo gari safi sana tatizo hazipo tz. Na mimi naitaji wiki hii magari! Hakuna mwenye LHD volvo double diff iliyopo dar
 
No yangu 0046 707 145 517...nitumie text msg, nitakupigia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…